Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Kwakuwa Everton kamlamba cheltako, kwahiyo wote watafungwa na Everton?Unajipaje uhakika wa nafasi ya tatu wakati kesho Everton anakukalisha?
Wewe bado uko hovyo sana afadhali manure wanaeza pambana na kubaki top four lakin sio wewe assanal..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiv unajua Everton ndio timu tunayoifunga sana ikifuatiwa na cheltako?unalijua hilo
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba