Litoe hilo kakaLiver mwaka huu magoli yanayotokana na offsides ni mengi mno. Salah alikuwa offside wakati anapiga cross.
Msimu ujao VAR kazini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuwepo hapa kaka,tusikimbiane
Usijipige ban tu,
Ina maana Sana hii message.Posted y’day here...
Kila Keita akicheza, Salah anafunga.
Simple.
Kam mnapata magoli dkk za majeruhi na hiz timu ndg ..ukicheza na Chelsea upati kabisa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui unakulaga bangi gani?Hivi kati ya Sours na Chelsea ipi kubwa? Kama ulimiminwa 4-0 na AFC Bournemouth jiandae kwa 6- 0 Anfield
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nawashangaa sana nyie Liverpool, hata kama mna tofauti kwa nini mnaanza kuitana kuwa wengine wana Mungu na wengine wana Shetani. Huu ni ushabiki au vita. Mnajenga nyumba moja au kila mmoja na lwake?Ushindi wetu mkuu. #YNWA
Mimi nawashangaa sana nyie Liverpool, hata kama mna tofauti kwa nini mnaanza kuitana kuwa wengine wana Mungu na wengine wana Shetani. Huu ni ushabiki au vita. Mnajenga nyumba moja au kila mmoja na lwake?Wana Liverpool HALISI leo vijana wanaenda kucheza mechi muhimu sana ugenini
Tuzidi shikamana,mambo mazuri yanakuja
Najua WAVIMBA MACHO wanaiombea team vibaya ili wamseme kocha!
Lkn wameisha shindwa,sisi tuna Mungu wao wana shetani
In Klopp we trust!
Man city anamzuia manure kuingia top four wakati mimi nitakuzuia kubeba ubingwa..Tottenham ana Man City so sidhani kama ataweza kumzuia kati ya Chelsea au Man U mmoja wao kuingia Top Four
Mkuu hawa wameshachanganyikiwa ..wanaona kabisa msimu mwingine huu wanatoka tena kapa ..unategemea nini apo? Lazima waheuke banaa...hahahaMimi nawashangaa sana nyie Liverpool, hata kama mna tofauti kwa nini mnaanza kuitana kuwa wengine wana Mungu na wengine wana Shetani. Huu ni ushabiki au vita. Mnajenga nyumba moja au kila mmoja na lwake?
Kumbuka penye wengi lazima mtofautiane, na mkitofautiana haina maana nyie sio washabiki wa Liverpool
Kesho Everton anakupiga hamsa. Huna pa kutokea pale..Usijipige ban tu,
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba