Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Who is happy For our boy Naby Keita????


Let me see your hands fellas!!!!!
Mimi binafsi nampenda sana Keita na siku zote nasema kwanini hapangwi mwanzo ila jana nimeona kitu pamoja na kwamba kafunga na kucheza sio vibaya ila kuna sehemu ya game yake inabidi afanye kazi kwa kweli. kama kiungo kapoteza mipira kama mitatu sehemu mbaya ukipata mtu kama Hazard anakudhibu. kijana mzuri hii ndio sehemu kidogo inamuangusha najuwa speed ya EPL ila na imani ata improve ni good asset.
 
City ana tight schedule ukilinganisha na sisi:-

Key games:

Crystal Palace (Away)
Tottenham (Home)
Man Utd (Away)
Leicester (Home).

Hapo ana atleast droo 2, so ni 4 points losing.

Kama tukishinda game ya Chelsea, tutakuwa tumejiweksa kwenye position nzuri sana.
I just pray that by the time we play our last game vs Wolves we're at least 4 points clear at the top of the pile.

ninawaogopa zaidi Wolves kuliko Chelsea aisee. wale watoto can hurt us oh!!
 
I just pray that by the time we play our last game vs Wolves we're at least 4 points clear at the top of the pile.

ninawaogopa zaidi Wolves kuliko Chelsea aisee. wale watoto can hurt us oh!!

Angalau kwamba tutakuwa nyumbani, na kama ushindi utakuwa unatu-favor ni lazima upatikane at any cost.

Kutaibuka atmosphere ya UEFA Night, refa atatupa hata penati ya uongo.
 
Yulikuwa tunapoteza sana mipira kati
Ila Hendo alivyoingia mpira ukastabilize kabisa
Nadhan ndo maana Klop anampesa sana jamaa kwa kustabilize na kumiliki ball posession
 
Mimi nawashangaa sana nyie Liverpool, hata kama mna tofauti kwa nini mnaanza kuitana kuwa wengine wana Mungu na wengine wana Shetani. Huu ni ushabiki au vita. Mnajenga nyumba moja au kila mmoja na lwake?
Kumbuka penye wengi lazima mtofautiane, na mkitofautiana haina maana nyie sio washabiki wa Liverpool

Kuwa specific bosi, ni wangapi unao washangaa?

Ni wangapi unaweza kuonesha hapa wameandika au kumsapoti aliyeandika?

Ni wangapi umeona wakitofautiana kwa kuambiana kauli za hivyo?
 
Hazard ana goli ngapi?
Sio suala ana goal ngapi mechi ijayo tunakutana na Chelsea halafu Keita afanye aliyofanya jana karibia na goal kupoteza maana inaweza isiwe Hazard kuna yule mtoto Odoi mpe tu mpira halafu tutasimuliana baadae.
 
Next match majogoo tunawaombea ,mpo na chelshit, kwakuwa mnautaka ubingwa hamna budi mumgonge za kutosha, aache kujipendekeza top 4,

Nitafurahi wakienda futuhi wao na manyua,



'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba

Nadhani United tayari yupo out of Top Four sasa umebaki na Chelsea & Spurs kuwatoa katika Reli
 
Also the lack of praise for matip is disgusting , the guy makes van dijk look like Titus bramble on the ball . Every time he creates a chance the commentators credit van dijk for it , weird
That would be funny , if two coaches are in the final have no clue about tactics .

Sent using Jamii Forums mobile app

Matip hapewi haki Yake anayostahiki
 
IMG_20190406_114019.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom