Kidowle
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 1,484
- 3,260
Naona mnateseka sana mwaka huu, nabado subiri tunyanyue makwapa mteseke vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi kama Man u fan, potelea mbali top 4, nitamsupport Chelsea.Hamkuwahi kutuombea mema lakini game vs Spurs na hii vs Chelsea lazima mututakie mema coz Munaihitaji Top 4
the boy has no tattoo lol thought tattoo ws a thing for many football players...one goal to go n he catch Aguero....
man this is catastrophic in EPL every team has benefited from this scenarios...good thing VAR comes next seasonThe reason why they are on the title race....15 points yu have taken due to these fallacious events View attachment 1063991
that my boy he gets lost yes bt wen chance arise there he is to conquer n cool 3 points we got...First half Bobby alikua off, alipoteza almost mipira yote aliyopewa. But he upped his game kwenye second half. Ile run na pass ya third goal was on point![]()
Sio suala ana goal ngapi mechi ijayo tunakutana na Chelsea halafu Keita afanye aliyofanya jana karibia na goal kupoteza maana inaweza isiwe Hazard kuna yule mtoto Odoi mpe tu mpira halafu tutasimuliana baadae.
Naomba hata usinitag au dharau msg zangu tu maana umefanya majibishano na ushindani wewe andika unachoona kweli sisi tusio juwa mpira pita kwa mbali tu.Ungejibu swali, ili lingine lije.
well Hendo had th great game jana in own standards that ws huge huge minus that silly tackle n got his yellow card...Was perfect, but VVD, Keita, Matip and Salah showed kwa ukubwa sana leo.
And, Henderson had a good cameo to be honest. No hard feeling.
So i’d pick them 5 over Firmino kwa hii match.
Fabinho had a stinker though, hasa first half.
Regardless since so many teams have been bullied by its absence this season. I think before introducing VAR next season, I cant imagine after 90 mins if there was a rule of deciding on the match result basing on some events that went wrong during the match, for sure now, fighting for top 8 would be your hopeman this is catastrophic in EPL every team has benefited from this scenarios...good thing VAR comes next season
sio jana hii ndio weakness yake wakati mwingine anakua mzito sana kusoma gemu wape apige chenga na wapi atoe pass...hapa uingereza ni tofauti na alipotoka hivyo kadri akipata mechi nyingi atazidi kujiimarisha..hata akina Hazard walipitia huko huko na leo hii ndio hawa moto mbaya..Mimi binafsi nampenda sana Keita na siku zote nasema kwanini hapangwi mwanzo ila jana nimeona kitu pamoja na kwamba kafunga na kucheza sio vibaya ila kuna sehemu ya game yake inabidi afanye kazi kwa kweli. kama kiungo kapoteza mipira kama mitatu sehemu mbaya ukipata mtu kama Hazard anakudhibu. kijana mzuri hii ndio sehemu kidogo inamuangusha najuwa speed ya EPL ila na imani ata improve ni good asset.
Naomba hata usinitag au dharau msg zangu tu maana umefanya majibishano na ushindani wewe andika unachoona kweli sisi tusio juwa mpira pita kwa mbali tu.
not even me fighting for top 8 i would say even Citi wouldnt be where they are n Cardif would be not fighting for relegation battle..Regardless since so many teams have been bullied by its absence this season. I think before introducing VAR next season, I cant imagine after 90 mins if there was a rule of deciding on the match result basing on some events that went wrong during the match, for sure now, fighting for top 8 would be your hope
Angalau hakuna mtu aliyejitokeza kumpinga au kulaani . ukimya maana yake ni kuunga mkonoKuwa specific bosi, ni wangapi unao washangaa?
Ni wangapi unaweza kuonesha hapa wameandika au kumsapoti aliyeandika?
Ni wangapi umeona wakitofautiana kwa kuambiana kauli za hivyo?
mi nadhani ifike mahala hawa ma next Kaka, Next Messi or Ronado wasikumbali kufananishwa nao maana wengi hupotea hata kabla ya kupanda team A...Chelsea wanataka kumsaini kinda wa miaka 15 ambaye ana quality kama za Ronaldo,
Chelsea set to sign next Cristiano Ronaldo as father reveals when transfer will happen
CHELSEA have agreed a deal to sign Swedish youngster Edwin Andersson - a player that has been dubbed the next Cristiano Ronaldo.
By MATT PENN
Samahani hii haikukusudiwa hapami nadhani ifike mahala hawa ma next Kaka, Next Messi or Ronado wasikumbali kufananishwa nao maana wengi hupotea hata kabla ya kupanda team A...
Angalau hakuna mtu aliyejitokeza kumpinga au kulaani . ukimya maana yake ni kuunga mkono
no worries...mshafunguliwa kusajili?Samahani hii haikukusudiwa hapa
Sijui lakini kwa gemu ya jana against Soton pale St Mary's first half tulipwaya sana upande wa kulia ambapo Gini alikuwa anaoperate as CM,i saw kitu baada ya ile tactics sub tulikuwa very aggressive sana na kusababisha winning ileishu ni pale ma pundits wanamsifu Fabby basi ujue mechi inayofuata Klopp atakwenda na Hendo+Milli+Gini...
kwa mechi alizocheza Fabbi so far ni dhahiri sio bench warmer...