Happy he got his first goal yesterday , but he still needs more time to settle in looking at his performance yesterday .
Sent using
Jamii Forums mobile app
Nadhani, he was pretty good kulingana na eneo aliloambiwa acheze.
At Leipzg alikuwa anacheza kwenye Pivot in a 4222, lakini tangu aje LFC amecheza kwenye pivot si chini ya mara 3 and his best perfomances zimekuja akicheza kwenye hilo eneo.
Our best shape kama Keita akiwepo uwanjani ni 2-1, jana Klopp alicheza na shape ya 1-2, yaani Fabinho as a lone sitter, nyuma ya Gini na Keita in a 433. Ndo maana kiungo kilikuwa na gapes na ukizingatia Gini was so out of the game y’day.
Things got a lot better, baada subs, as Klopp decided to switch to 4231, Faby and Keita in a pivot and Henderson kwenye advanced role. The shape kwenye mid helped us a lot and ilimpunguzia Faby kazi ya kupress, and helped Keita to connect the MF and attack more and most of all helped Hendo to make his runs kwenye opponent box.
Keita is a monster kwenye pivot, but kwa jinsi nilivyoona jana, ameanza ku-adopt vizuri kwenye 433 pia, ambapo ni good sign as Klopp loves this Formation, so in the future i can see a MF-3 of Faby/Keita/Ox.