Hivi kwa mfano Pep ndo kocha pale Liverpool, Henderson hata bench angekuwepo, milner angekuwepo??? Nawaza tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ubingwa mtausikia kwa wengine tu, city anaenda kumpiga watford on Saturday.....Bahati mmeichezea hivi hivi....all in all poleni sana Mkuu
Today is very difficult day in my life
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji485] [emoji485] kunywa wine hiyo maana hiyo ndio nafasi yenu Liverpoolhuku majanga hatimae tupo nafasi ya pili..
Fighter pale ni wachache, mizigo mingi. Look how VVD was dissapointed na jinsi timu ilivyocheza. Alikuwa akipiga kelele kujaribu kuelekeza wenzake. Jamaa anapambana na alikuwa akijua huu ni msimu wake kunyanyua kwapa, lakini wapi.Never give up buddy, fight until your last tear [emoji22] drops.
hahaha huyu mjeremani ni jipu kabisaa😀😀😀😀
Against Leicester ilikuwa snow
Against Man u zilikuwa injuries za Herera, Matic, Lingard na Martial
Leo wind😀😀😀
Tuko vyema
Unasema?Sina wasiwasi na mechi ya leo, tunaenda kuuwa mtu endapo Klopp atafanya jambo kwenye midfield.
Mangi ni ngumu kumeza lakini ndio ukweli..[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji485] [emoji485] kunywa wine hiyo maana hiyo ndio nafasi yenu Liverpool
Sent using Jamii Forums mobile app
Word...Nataka kujua kama fabian deph kamzidi kiwango henderson!!
Hapo ni kocha wenu tu na wachezaj kuwaandaa kiakili mzimu unawatesa wa kukosa makombe
Solskjaer ana key player kama wa nne wapo nje bado anahimili nasema ni saikolojia ya wachezaj wenu tu hawajui wanapambania nini
You've won the gameBut the most important thing ni kwamba We are going to win this game
Sisi Man united tutamuachia city kama Steven Gerald alivyo mpasia Forward ya Chelsea ili man united asichukue ubingwa