Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Lesta wanacheza kama wapo home kwao vile
Cha mhimu liver ni bingwa Wa 2018/2019Yani goli tulilofungwa ni set piece, na muda mfupi huu tumekoswa kwa hiyo set piece
kweli kabisa....Lesta wanacheza kama wapo home kwao vile
Pressure inapanda na kushuka



The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Sawa tayari Nina msiba mmoja nasubiri na huu niunganishe misiba gharama iwe ndogoJust wait and see who will lough last