Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Hili haliwezakani ila kwa makocha wanaomini katika mbinu za kiufundi mtu kama Origi anapata muda wa kucheza walao dakika 30 katika mechi dhaifu au zenye ushindi mzuri wa mapema hii inasaidia kumpa moyo mchezaji mdogo kupanda
Sasa Hapa Tumefahamiana kwa 100%.
Nakushukuru sana kwa ufafanuzi wako wa mjadala huu mdogo tuliouendesha.
Kwavile tumeshakamata £19m ya Solanke.
Na Kuna £7m ya Karius
Na kuna £20m ya Ings
Hapo tunapaswa kuchangachanga kwa kutoa baadhi ya Wachezaji kama kina Lallana na Mignolet ili kutimiza at least £100m tuweze kupata wachezaji 2 talented wakuweza kupambana.