Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mi nalia na hii ya kumchezesha Firmino namba 9 wakati Origi yupo

Mkuu Origi ni Sawa na Benteke tu si Mchezaji wa kukupa matokeo pale unapoyahitaji.

Jamani tufocus kwenda mbele na si kurudi 2015! Wachezaji kama hawa wasiotabirika timeshawakataa kwani hawawezi kukupa mafanikio! Wao huishia kukupa matokeo Mechi 2 lakini wakaishia kukuharibia mechi 15.

Sasa tuangalia kwenda mbele zaidi kwa angalau kuangalia aina ya kina Timo Werner.

Lakini Mkuu unataka uturudishe kwa Origi?? Sasa hapo tumekwenda mbele au Tunarudi nyuma?

Hata Sturridge aliwafunga Chelsea watu wakadai kuwa ni bora achezeshwe Striker, lakini tokea baada ya game ile kafanya nini?

Kwahiyo na huyu Origi Siku atakayokabidhiwa majukumu basi tutakimbizana hapa.
 
Michezaji yenyewe tu ni mizembe haifai kuichezea liverpool kocha kayaona yanfaa kwenye mazoez kayaamini lakin yamemwangusha.

Itakuwa upo palepale unachoongelea ni Kwamba Klopp ndiye anayestahiki lawama kulaumiwa Kwa Kuishi na Michezaji Mibovu.

Sasa wewe Kocha anatoa mikataba kwa Machezaji yasiyoeleweka ikisha asilaumiwe Kocha kweli?
 
Mkuu umekosea! Klopp halinganishwi na PEP ! Bali Klopp anaitwa ni bora zaidi ya PEP ... Na tunaposhinda game hapa wanaandika kuwa Klopp ni Kocha bora zaidi duniani...
Kwahiyo hao kina kina PEP, Zidane, LVG, Mourinho, Emery wote ni watoto wadogo tu ambao hawana mafanikio aliyoyawahi kuyapata Klopp.
Sisi wengine humu ni watu wazima na tunaakili zetu,usifikiri wote ni wendazimu Kama wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaha Liverpool HALISI bwana

Kwa sababu mumetolewa ndo unaita kombe la KIPUUZI.

Hivi unajua Heshima na FA kweli??

Kama sijakosea ..baada ya UEFA ni FA halafu EPL.. kwa pesa ndefuu

#MunaPointTatuzaSarri.

Sent using Jamii Forums mobile app

Huo ndiyo Uliverpool Halisi wenyewe!

Tungelishinda nadhani unajua ambacho angelikiandika!!!

KLOPP best Coach
KLOPP world class
KLOPP Genius
KLOPP better than PEP
Liverpool inabeba FA, EPL na CL

Lakini tumeshagongwa anaishia kusema makombe ya Kipuuzi.
Subiri nakuhakikishia CL hatuna safari! Sasa Sijui nalo atakuja kuita kombe la kipuuzi!!
 
Juzi Man City kashinda saba. Angalia kikosi alichopanga wakati anakupiga mbili na kikosi alichopanga wakati anashinda goli saba.

Hahahahahahahahaha wakati ninyi munaita sijui Mickey nini.... wenzenu wana njaa kama fisi jike aliyetoka kujifungua.

Muna miaka sijui mingap uko hata hayo "makombe ya mbuzi" hamjabeba halafu mumekaa na kuita ni "Mickey mouse cup" hahahahahahaha

Mukikosa na EPL pia mutaita ni Mickey mouse cup????

Sent using Jamii Forums mobile app
City kacheza na nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Be Gentle a little bit. Utatuita mbumbumbu,majuha,. Huo sio utu. Kwa nini? Utadhani mhaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huyo Queen Bangwa sisi wengine tushamzoea. Yeye ni mtukanaji mzuri, yeye ni mjuaji wa kila kitu, hataki kupingwa. Sasa wewe pindisha neno anakua keshajisahau anaanza kuwaka. Wanasema mbwa ukimjua jina hakusumbui.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulisema carabao ni kombe la kipuuzi.Sasa tunasema carabao na FA ni vikombe vya kipuuzi.Inaonekana baadaye tutasema carabao,FA na UCL ni upuuzi tu,heshima ipo premier.Halafu baadaye zaidi tutasema mwaka huu haukuwa wetu mradi tupo top four tuna vikombe vinne vya kushindania mwakani.

Hatuna strong team kihivyo.Bado tupo stage ya kutegemea zaid morale ya timu na bahati.Hatujafika level ya city wanaoweza kulazimisha wanachokitaka na kukipata kutokana ba ubora wao.Bado kuna gap kubwa sana la kiuwezo kati ya Alisson na Mignolet.Gap kubwa sana kati ya TAA(ingawa simkubali) na Camacho.Tofauti kubwa kati ya VVD na yoyote atakayecheza namba yake.Gomez halingani na Lovren...at least Matip na Gomez wanalinganishika.Front three ndo hakuna kabisa mbadala wa Mane,Firmino na Salah...I mean hao akiba Sturridge na Origi ni average sana na sijui kwa nini hawajaachwa na kutafuta watu wanaoweza kuwachallenge akina Mane.Sheyi Ojo sijui kwa nini alikopeshwa.

Kwenye midfield hatupo vibaya tuna wachezaji wazuri sana lakini Klopp hajaweza bado kuexploit the maximum potential ya tulichonacho
 
Ifike mahala kombe la FA lirudishe heshima yake siku hizi linadharaulika sana

Hoja ya Piers Morgan ya kumfanya winner apewe nafasi ya 4 ya kushiriki uefa ni bora kabisa
 
Huo ndiyo Uliverpool Halisi wenyewe!

Tungelishinda nadhani unajua ambacho angelikiandika!!!

KLOPP best Coach
KLOPP world class
KLOPP Genius
KLOPP better than PEP
Liverpool inabeba FA, EPL na CL

Lakini tumeshagongwa anaishia kusema makombe ya Kipuuzi.
Subiri nakuhakikishia CL hatuna safari! Sasa Sijui nalo atakuja kuita kombe la kipuuzi!!
Pole Sana aisee. Sasa mmebakisha vikombe 2 vikubwa ambazo ndiyo target yenu. Naamini mtabeba Epl na CL. Na msipojiangalia mtakosa vyote

Sisi tunapambana kupata Mouse Cup

Chelsea...Bado tunapambana kwenye... Carabao Cup, FA Cup, Epl na Uropa ndogo. Lazima tupate hata tuwili hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulisema carabao ni kombe la kipuuzi.Sasa tunasema carabao na FA ni vikombe vya kipuuzi.Inaonekana baadaye tutasema carabao,FA na UCL ni upuuzi tu,heshima ipo premier.Halafu baadaye zaidi tutasema mwaka huu haukuwa wetu mradi tupo top four tuna vikombe vinne vya kushindania mwakani.

Hatuna strong team kihivyo.Bado tupo stage ya kutegemea zaid morale ya timu na bahati.Hatujafika level ya city wanaoweza kulazimisha wanachokitaka na kukipata kutokana ba ubora wao.Bado kuna gap kubwa sana la kiuwezo kati ya Alisson na Mignolet.Gap kubwa sana kati ya TAA(ingawa simkubali) na Camacho.Tofauti kubwa kati ya VVD na yoyote atakayecheza namba yake.Gomez halingani na Lovren...at least Matip na Gomez wanalinganishika.Front three ndo hakuna kabisa mbadala wa Mane,Firmino na Salah...I mean hao akiba Sturridge na Origi ni average sana na sijui kwa nini hawajaachwa na kutafuta watu wanaoweza kuwachallenge akina Mane.Sheyi Ojo sijui kwa nini alikopeshwa.

Kwenye midfield hatupo vibaya tuna wachezaji wazuri sana lakini Klopp hajaweza bado kuexploit the maximum potential ya tulichonacho
Mkuu huwezi funga timu zote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msipoangalia mtaanza kugombania big four!! Kuna timu zipo chini yenu kimsimamo saiv na wapo serius na makombe, nyie ni kweny vyombo vya habar na magazeti ndy mnashindana. Hlf Klopp ni kati ya makocha wasiyo na bahati duniani na hilo lipo wazi, akikenua na kuvua miwani yake vibay, yatajirudia ya mwaka jana ya kugombania top 4

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Michezaji yenyewe tu ni mizembe haifai kuichezea liverpool kocha kayaona yanfaa kwenye mazoez kayaamini lakin yamemwangusha.

Ndiyo maana tunalalamika wauzwe hao wachezaji...dunia ya sasa ili ushindane in all fronts unatakiwa uwe na kikosi kipana kama au zaidi ya Man City.
We need at least five established players kwenye window kubwa.
 
Mkuu Origi ni Sawa na Benteke tu si Mchezaji wa kukupa matokeo pale unapoyahitaji.

Jamani tufocus kwenda mbele na si kurudi 2015! Wachezaji kama hawa wasiotabirika timeshawakataa kwani hawawezi kukupa mafanikio! Wao huishia kukupa matokeo Mechi 2 lakini wakaishia kukuharibia mechi 15.

Sasa tuangalia kwenda mbele zaidi kwa angalau kuangalia aina ya kina Timo Werner.

Lakini Mkuu unataka uturudishe kwa Origi?? Sasa hapo tumekwenda mbele au Tunarudi nyuma?

Hata Sturridge aliwafunga Chelsea watu wakadai kuwa ni bora achezeshwe Striker, lakini tokea baada ya game ile kafanya nini?

Kwahiyo na huyu Origi Siku atakayokabidhiwa majukumu basi tutakimbizana hapa.

Tunatakiwa kuwauza hao akina Origi and the likes wote, kisha tulete majembe ngangari yatakayotufanya tupambanie kwenye fronts zote CARABAO, FA, EPL and UCL.
 
Mkuu umekosea! Klopp halinganishwi na PEP ! Bali Klopp anaitwa ni bora zaidi ya PEP ... Na tunaposhinda game hapa wanaandika kuwa Klopp ni Kocha bora zaidi duniani...
Kwahiyo hao kina kina PEP, Zidane, LVG, Mourinho, Emery wote ni watoto wadogo tu ambao hawana mafanikio aliyoyawahi kuyapata Klopp.
Nani tena huyo? lazima watakuwa ni Liverpool halisi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom