Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ushoga
 
Attachments

  • Screenshot_20190108-055855.png
    Screenshot_20190108-055855.png
    181.7 KB · Views: 26
  • Screenshot_20190107-004211.png
    Screenshot_20190107-004211.png
    223 KB · Views: 25
Kwangu haya matokeo ni favorable sana, Liverpool hatuna Benchi kabisa, tunategemea First XI tu. Kadri haya mashindano yanavyosonga mbele ndivyo yatakavyokuwa magumu wakati huo huo CL itakuwa imepick. Kwa hiyo kupunguza Fatigue na Injuries, ni bora tubaki EPL na CL (ambayo nayo tutaondoka muda tu).

Another one big thing nimenote for sometimes, Klopp is not good at multitasking, mwaka jana tulijaribu kwenda na EPL na CL pamoja, almost tukose top 4 kwa sababu ya kubase zaidi CL. Mwaka huu wote tumeona jinsi almost tusisonge 16 kwa sababu ya kubase EPL zaidi na kuweka vikosi vya ajabu CL.

Hii EPL akiikosa mwaka huu atakuwa na wakati mgumu sana kwa critics, na kwa career yake tena, akiikosa mwaka huu hataweza tena kutupa EPL.
 
Makombe haya ya KIPUUZI yangechosha tu wachezaji!Mwaka huu ni EPL au CL period sio sijui upuuzi wa FA na Carabao
Klopp anaenda na EPL na CL.Period

Sent from my iPhone using JamiiForums
Hahahahaha Liverpool HALISI bwana

Kwa sababu mumetolewa ndo unaita kombe la KIPUUZI.

Hivi unajua Heshima na FA kweli??

Kama sijakosea ..baada ya UEFA ni FA halafu EPL.. kwa pesa ndefuu

#MunaPointTatuzaSarri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Timu haina Depth ya kutosha still bado Manager anatoa watu kwa mkopo kirahisi rahisi tu Klopp hana Ambition na Trophy na hili litajulikana muda sio mrefu
Juzi Man City kashinda saba. Angalia kikosi alichopanga wakati anakupiga mbili na kikosi alichopanga wakati anashinda goli saba.

Hahahahahahahahaha wakati ninyi munaita sijui Mickey nini.... wenzenu wana njaa kama fisi jike aliyetoka kujifungua.

Muna miaka sijui mingap uko hata hayo "makombe ya mbuzi" hamjabeba halafu mumekaa na kuita ni "Mickey mouse cup" hahahahahahaha

Mukikosa na EPL pia mutaita ni Mickey mouse cup????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwangu haya matokeo ni favorable sana, Liverpool hatuna Benchi kabisa, tunategemea First XI tu. Kadri haya mashindano yanavyosonga mbele ndivyo yatakavyokuwa magumu wakati huo huo CL itakuwa imepick. Kwa hiyo kupunguza Fatigue na Injuries, ni bora tubaki EPL na CL (ambayo nayo tutaondoka muda tu).

Another one big thing nimenote for sometimes, Klopp is not good at multitasking, mwaka jana tulijaribu kwenda na EPL na CL pamoja, almost tukose top 4 kwa sababu ya kubase zaidi CL. Mwaka huu wote tumeona jinsi almost tusisonge 16 kwa sababu ya kubase EPL zaidi na kuweka vikosi vya ajabu CL.

Hii EPL akiikosa mwaka huu atakuwa na wakati mgumu sana kwa critics, na kwa career yake tena, akiikosa mwaka huu hataweza tena kutupa EPL.
Sio Klopp tu, makocha wengi na timu nyingi kwenda na pressure ya mashindano mengi kwa wakati mmoja. Mfano timu zinazochukua makombe mawili au matatu kwa wakati mmoja ni chache na ikitokea hivyo ni sherehe ya kukata na shoka na sifa lukuki kwa kocha. Kocha ni lazima aamue kuweka msisitizo upande mmoja. Hasa EPL na CL huwezi kwenda nazo kwa pamoja halafu ukapona, no way!
 
Juzi Man City kashinda saba. Angalia kikosi alichopanga wakati anakupiga mbili na kikosi alichopanga wakati anashinda goli saba.

Hahahahahahahahaha wakati ninyi munaita sijui Mickey nini.... wenzenu wana njaa kama fisi jike aliyetoka kujifungua.

Muna miaka sijui mingap uko hata hayo "makombe ya mbuzi" hamjabeba halafu mumekaa na kuita ni "Mickey mouse cup" hahahahahahaha

Mukikosa na EPL pia mutaita ni Mickey mouse cup????

Sent using Jamii Forums mobile app
Man city katia first eleven

Nilichoona pep hataki ujinga, kila kombe lina umuhimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Guys bandu bandu humaliza gogo la asali

Tulianza kutolewa carabao
imefuata Fa
tunasingizia makombe madogo..
the last time kushinda hata kikombe tuitacho havina maana ni miaka saba iliyopita.

Mwendo mdgo mdgo.. tutajikuta tusipotarajia soon kwa sababu za huyu kocha ambaye wengine husema WORLD class ambaye analinganishwa na Pep.

Kwa mafanikio ya sasa hata kumfananisha klopp na Emery bado Emery ana Europa tatu klopp only two three finals.

YNWA...

Bandu bandu humaliza gogo la asali.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu umekosea! Klopp halinganishwi na PEP ! Bali Klopp anaitwa ni bora zaidi ya PEP ... Na tunaposhinda game hapa wanaandika kuwa Klopp ni Kocha bora zaidi duniani...
Kwahiyo hao kina kina PEP, Zidane, LVG, Mourinho, Emery wote ni watoto wadogo tu ambao hawana mafanikio aliyoyawahi kuyapata Klopp.
 
Sio Klopp tu, makocha wengi na timu nyingi kwenda na pressure ya mashindano mengi kwa wakati mmoja. Mfano timu zinazochukua makombe mawili au matatu kwa wakati mmoja ni chache na ikitokea hivyo ni sherehe ya kukata na shoka na sifa lukuki kwa kocha. Kocha ni lazima aamue kuweka msisitizo upande mmoja. Hasa EPL na CL huwezi kwenda nazo kwa pamoja halafu ukapona, no way!

Exactly, ndiyo maana kwa kuangalia uwezo wa benchi letu, nilitamani mapema sana tutolewe huku FA, angalau UEFA ni game 6 tu ndo ngumu maana ya 7 (Final) inachezwa baada ya EPL.

Tuna uwezo wa kusimama kwa ajili ya hayo mashindano yaliyobaki.
 
Mimi nimemtukana Klopp kimoyomoyo tusi baya sana aisee!
Anajua kabisa Wolves ni wagumu halafu wapo kwao, then anakuja na line up ya dizaini hii kweli???
kwa hichi kikosi tulicho nacho msimu huu, haya ndiyo mashindano ambayo binafsi nina uhakika 100% ndoo tungebeba.

sasa ni kuomba lisitokee la kutokea kwenye EPL/UCL. tukitoka empty handed msimu huu, I tell you itakuwa ngumu sana kwa wachezaji ambitious kama Salah, Mane, Alisson and even "pure Red" VVD kuwabakiza Anfield 2020.
 
Mkuu umekosea! Klopp halinganishwi na PEP ! Bali Klopp anaitwa ni bora zaidi ya PEP ... Na tunaposhinda game hapa wanaandika kuwa Klopp ni Kocha bora zaidi duniani...
Kwahiyo hao kina kina PEP, Zidane, LVG, Mourinho, Emery wote ni watoto wadogo tu ambao hawana mafanikio aliyoyawahi kuyapata Klopp.
vice versa is true
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom