Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Makombe haya ya KIPUUZI yangechosha tu wachezaji!Mwaka huu ni EPL au CL period sio sijui upuuzi wa FA na Carabao
Klopp anaenda na EPL na CL.Period

Sent from my iPhone using JamiiForums

Kwanza FA sio Mickey mouse cup

kombe ambalo lazima ushiriki unaitaje Mickey mouse?
 
Guys bandu bandu humaliza gogo la asali

Tulianza kutolewa carabao
imefuata Fa
tunasingizia makombe madogo..
the last time kushinda hata kikombe tuitacho havina maana ni miaka saba iliyopita.

Mwendo mdgo mdgo.. tutajikuta tusipotarajia soon kwa sababu za huyu kocha ambaye wengine husema WORLD class ambaye analinganishwa na Pep.

Kwa mafanikio ya sasa hata kumfananisha klopp na Emery bado Emery ana Europa tatu klopp only two three finals.

YNWA...

Bandu bandu humaliza gogo la asali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Timu haina Depth ya kutosha still bado Manager anatoa watu kwa mkopo kirahisi rahisi tu Klopp hana Ambition na Trophy na hili litajulikana muda sio mrefu
 
Timu haina Depth ya kutosha still bado Manager anatoa watu kwa mkopo kirahisi rahisi tu Klopp hana Ambition na Trophy na hili litajulikana muda sio mrefu

Hatuna depth kabisa, tunahitaji kusajili watu wa uhakika watano. Kaniudhi sana Klopp kwenye hii game ya Wolves.
Anasababisha tuishi kwa shida mitaani na mitandaoni.
 
Hatuna depth kabisa, tunahitaji kusajili watu wa uhakika watano. Kaniudhi sana Klopp kwenye hii game ya Wolves.
Anasababisha tuishi kwa shida mitaani na mitandaoni.
“I know people want to win every game and see the same players week in, week out, but somebody has to make the decisions and in that case, I am the man for [doing] that.”

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Timu ngumu hamjaifunga hata moja chelsea kakutoa karabao na ulinusurika kupigwa kwake shukran kwa sturidge haya city kachukua point 4 kwako

Mlidanganywa na vimech vya man united na arsenal wazaifu

Ukija uefa hujashinda hata mech moja ugenini hata red star umeshindwa kumfunga mmewahi kujiuliza?

Huyo wolves mgumu sana kishakutanguliza

Kazi kulaum kocha tu

Sasa wewe unataka tumlaumu nani zaidi ya kocha? Kufungwa na Red Star ilikuwa ni upumbavu wa kocha, same as today dhidi ya Wolves. Hata siku ya Man City.
 
“I know people want to win every game and see the same players week in, week out, but somebody has to make the decisions and in that case, I am the man for [doing] that.”

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni mpumbavu kabisa!
Siku kama ya leo anapofanya ujinga lazima tumlaumu tu. Mbona last season walicheza watu wale wale week in week out? Field a strong squad piga goli za kutosha first half then pumzisha watu second half...simple!
 
Kuna watu walimpigia debe sana Milner achezeshwe namba mbili badala ya TAA, nadhani leo kucheza kiungo mkabaji ameshatoa somo kuwa kukaba kuna wenyewe na si kila mtu!
Milner umri umeshakuwa kikwazo kwako cha kuwa kumkimbiza mtu hata mita 15m

It was a mistake to loan Clyne at this time...big MISTAKE!
 
Makombe haya ya KIPUUZI yangechosha tu wachezaji!Mwaka huu ni EPL au CL period sio sijui upuuzi wa FA na Carabao
Klopp anaenda na EPL na CL.Period

Sent from my iPhone using JamiiForums

Hii hoja yako ni dhaifu sana ndugu yangu...we were supposed to win this.
Klopp leo kabugi bana lazima ukweli usemwe, he is not an angel, kuna siku anakosea na moja ya hizo siku ni leo.
 
Klopp afanye kila anachofanya mwisho wa siku timu inahitaji kushindaTROPHIES over ........... Hatakuwa na Excuse yoyote kwa Season hii Ana UCL na EPL kazi kwake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom