Gwamahala Jr
JF-Expert Member
- Aug 26, 2018
- 464
- 780
Beki ni muhimu sana aisee...
Klopp afanye kila anachofanya mwisho wa siku timu inahitaji kushindaTROPHIES over ........... Hatakuwa na Excuse yoyote kwa Season hii Ana UCL na EPL kazi kwake.
Kocha sijui anataka wachezaji wa aina gani wa benchi ntaona atakaekuja kama atamzidi huyu kiwango hafu anzie benchi.Origi leo ndio best perfomer in our side
Ila mkuu naamini kunatatizo la kiufundi inamaana wale waliocheza pre sizon waliondoka wote?Halafu unakutana na watu wanakuambia hakuna haja ya kusajili
Itabidi Fabinho acheze na VVD aisee...
Ila mkuu naamini kunatatizo la kiufundi inamaana wale waliocheza pre sizon waliondoka wote?
Ila hajamfikia Philips sijui keaha uzwa?
Forward kama nani labda ikiwa Origi hatumiki?Beki labda kuongeza depth mkuu
Ishu ipo kwa viungo wa kushinda magoli ndio ambao hatuna na pia naona tunahitaji Addition kwenye Forwards
Mimi siamini haya maneno pree sison tulichezesha wachezaji gani.Timu haina Depth ya kutosha still bado Manager anatoa watu kwa mkopo kirahisi rahisi tu Klopp hana Ambition na Trophy na hili litajulikana muda sio mrefu
Usikute Lovlen hajaumia ila kakwepa lawama subiri tuoni jmosiItabidi Fabinho acheze na VVD aisee...
Origi tusahau tu anaondoka kama kinda wengine tuMi nalia na hii ya kumchezesha Firmino namba 9 wakati Origi yupo
Ngoja tuone kwenye ligi itakuwaje hahahaKlopp: “The wind didn’t help, the players struggled to control ball."
Such a childish excuse. How come Wolves controlled the ball and won then?