Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kuna Mimbumbumbu huwa hayana uwezo wa kufanya analysis za kimpira kama hizi!
Basi yatashindwa kuchallenge chochote badala Yake yatakuja na mipasho hapa kama Mikahaba ya kwenye Vigodoro kusema ujinga wao kuwa Hujui kitu wakati wao hayaleti chochote zaidi ya usenge hapa.

Kama hatujui kitu si wao wanaojua walete hapa hizo analysis za mpira wanzozijua ili tusome!!!!!

Lakini Jinga flani lishachoka kuuza Karanga Ubungo linakuja hapa kuleta mipasho na mihemko ya Kisenge.
LUGHA,




hata ukiongea kwa lugha isiyo ya matusi tutakuelewa tu,ila hili povu ni la KLEESOFT.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo mpira tuliopigiwa leo Chelsea atachakazwa vibaya pale Etihad kama utapigwa mpira kama huu aliopiga leo Man City
Hahahahaha unaeza shangaa Man city akachakazwa vibaya ukabaki mdomo wazi.

Sasa kufungwa nyie ndo kufungwa sisi.?

Au mumejiaminisha kuwa nyie ni bora kuliko sisi.?

Mpira hauko ivyo mkuu.

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom