Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

There is only one invicible, only one
tapatalk_1546632530548.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Washabik wote wa Mpira mpk wa mpira wa pete wapo kwenye uzi wa LFC kwel kizur cha jiuza kibaya cha jitembeza

Njoon tu maana kama mnapigwa 5,3 ,8,6, sasa unafikir mtajadil nini huko kwenu kama sio vipigo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Super powers hutolewa macho na kila mmoja, wanawanga kila siku kutuona lini tuta fall
 
Mpinzani wetu kwa sasa ni city na spurs na nina jua hizo timu hazina washabik bongo ila zina washangiliaji so maneno ya hawa vilema wengine wa the gono, cheshit, nyumbu hata yasitutibue maana timu zao hazijiwezi kwa sasa tukaacha kujadil soccer letu la LFC kwan kwa sas tuko kwenye hatua ngumu kidogo ktk race hiii ya Epl kwan spurs na man city zinajaribu kuleta chachu ya ushind wetu huu wa EPL but we believe kwamba mambo yatakuwa sawa tu mtu afe,mtu avunjike shingo, mtu avunjike bandama EPL lzma ikae Anfield kwa msimu huu

Kama ww the gono, chelshit , nyumbu kikikuingia ukaumia bas chomoa uende zako

Ndo burudani ya mpira ilivyo, huwezi kuwazuia kwa mdomo.

Nakuhakikishia hata tukichukua kombe utawaona hapa, muhimu ni kuendelea na mambo yetu, try to ignore them and focus on your goal.
 
Katika timu msimu huu HAZITONIFUNGA basi ni MAN CITY na LIVERPOOL.

Kwani unatesekaa..???

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Sawa nifungie huyo City, ukija kwangu utoke draw ukikosa kupigwa....

hehehe niliteseka kiduchu Mkuu kuja kuangalia ubao nikaona bado tuna gepu ya pointi nne swafii kabisa na ndio kwanza mechi ya pili mzunguko wa pili hivyo nafasi ya kuzidi kupambana kombe litue jiji la majogoo ipo kabisa...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom