Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mimi wasiwasi wangu ni mmoja tu!
Kuwa Klopp kamtoa Clyne ili kuwahakikishia nafasi Milner na Henderson.
Hapo huenda Klopp Akamchezesha Milner Right back na Henderson akawa hana Mpinzani katikakati.
We are dying slowly

Lakini kwa Upande mwengine wa shilingi nimefurahi kutolewa kwake!

Mkuu tumeshachoka mateso ya Wachezaji kama hao.

Tumekuwa nao sasa kwa zaido ya miaka 5 na hawajatupa chochote! Niwazi kuwa Wameshashindwa sasa kuwapa tena muda kwa kuamini eti wataleta mafanikio ni kituko mkuu.

Mkuu hao wameshashindwa! Sasa ni wakati wa Kwatoa Failures na kuingiza New Face bazo ni talented ili kupambana.
real talents kabisa kama VVD guys....
 
Timu yetu kwa kuangalia kipaji cha mchezaji mmoja mmoja ni dhaifu kweli lakini upambanaji wao umeficha udhaifu wake!

Ila kocha kuwafavour wachezaji walio vipenzi vya Waingereza kunafanya tuwe exposed ule udhaifu wetu.

Hivi Fabinho ajitahidi vipi ili aaminiwe na Klopp?

Hivi ni kweli Fabinho hawezi kucheza mbele ya Henderson na Milner?
Hii ni sawa na Mourinho kutaka kuwaaminisha watu kuwa Felaini ni bora kuliko Pogba.

Timu yetu so dhaifu kiasi hicho ila Klopp ndiye anafanya tuonekane dhaifu.
Sawa mchambuzi hewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Breaking | Nabil Fékir left out of Lyon’s 18-man squad to face Bourges Foot in the Coupe de France with no explanation. Not believed to be injured.


Naona mitandao ya ufaransa yasema hivi. Sasa sijui Liverpool tunataka tufanye yetu kutokana na mauzo ya solanke na mshahara wa clyne

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwakweli tunaweza jikuta tunaishia kupiga ramli lakini iwapo Gomez na Matip watarudi mapema basi Klopp hatosaini Mchezaji heyote hii January
 
Let's wait & see Kops, Wan Bissaka might be our January new signing.

Tuna TAA, Gomez, Fabinho na Milner wote wanaweza kucheza namba 2..

Kwahiyo sidhani kama Klopp ana mpango wa kusaini Beki ya Kulia hii January
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom