Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Poleni mkuu,nafikiria mngepata zile midfielder zetu hapa Herrera,Matic pembeni Pogba,msingekamatika. Akina Mane wangekula na kusaza.
 

We lost the battle, not war.

Less keep grinding, take an 'L' as a lesson.

This is our best year if we learn from the loss and move forward.
 
Tunashukuru umelitambua hili hata ww mshabik wa Arsenal


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku zote nanyi mlikuwa wamoja kuwaombea wengine wafungwe ili muendelee kuwa juu na mmetutukana sana kwa matokeo mabovu tulokuwa tunapata. Tuna furaha kubwa kuona kuwa nanyi mwaumia. Ni nyinyi mlishangilia sana kufungwa kwa man city,arsenal, man na sare ya chelsea. Yako wapi sasa!!!!!.
Tulieni na huo ni mwanzo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe huwezi kupoteza?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona tumeshakua Topic of their discussions na wakati mwenendo sio mbaya mpaka sasa basi jua tu kua mioyoni wameshatambua kwamba we are a Big Threat kwa wote katika hizi mbio za ubingwa ila tu wanashindwa kukubali hadharani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…