Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,664
Most recoveries made during Man City 2-1 Liverpool:
[emoji838] Bernardo Silva (10)
[emoji837] Andy Robertson (10)
[emoji838] Fernandinho (9)
[emoji838] Raheem Sterling (9)
Pep Just take your hat off to that game.
lembu you are more than correctIle line-up dhidi ya Arsenal ingewasaidia kupata angalau draw, lakini hii ya kumkabidhi Henderson aamue as a CMF mechi kubwa kama hii was a big mistake aliyofanya Klopp.
Nyie ndio washabiki msiojielewa humu ndani.
Pumbavu zako Hendeson, Milner na Lovren hamstahil kuwa Club kubwa kama Liverpool.
Huyu Mbwa Klopp nawaambia hivi akiendeleza ukenge wa kuwalinda wachezaj wapuuzi type ya Henderson walah tutazeeka humu hata kikombe cha chai hatujabeba.
Haiwezekan mechi ndogo utupangie Fabh, Shaqir- keita alaf mechi kubwa kama ya City utupangie mbweha hawa Milner Hendo.
Hawa wapuuz walkuwa nusu watucost Uefa dhid ya Red star. Tukastruggle sana had mechi ya mwisho na Napoli.
Je huyu Klopp ni kiziwi au kipofu asiyeona hayo? Huyu mzee asipoangalia ipo siku ataishia kwa aibu zaid ya mourinho.
mimi nahisi yule jamaa sio shabiki wa liverpool maana yupo benet sana na masnitchHuwa tunasema GINI-HENDO-MILNER hawawezi hata squad player wa Barcelona.
Na Salah-Firmono-Mane hawawezi kupata namba kwa Barcelona
Basi kuna mshabiki bora kila baada ya Mechi ttunayoshinda anakuja na comment ya Mipasho hapa kupinga kauli yetu hiyo.
Points zake hi hizi:
- Front three wetu Salah-Firmino-Mane wanacheza panga pangua Barcelona kwa kuwaweka bench Messi-Suarez-Dembele.
Kwahiyo anaamini kuwa Wachezaji wetu ni Bora kuliko Kikosi kizima cha Barcelona.
- Midgielders wetu Gini-Hendo-Milner wanacheza panga pangua Barcelona kwa kuwaweka Bench Busquet-Vidal-Arthur.
Huku akisahau kuwa aliyekuwa Mchezaji wetu bora COUTINHO basi kwenye kikosi cha Barcelona ni Mchezaji wa Sub.
Sasa mtu kama huyu anatwambia hatujui mpira.
.....And Lovren is nothing but the most useless player to ever played for this Club
he's nearly 30 but still making the same mistakes kwa zaidi ya miaka mitano sasa at LFC, same damn mistakes
but, but, but he's a World Class CB because he played in a WC final and scored against Newcastle, club that employs and plays Isaac Hayden in the midfield
Subiri uone tunabeba EPL na CL kwa pamoja.Na bado,huu Ni mwanzo tu,narudia kauli yangu,hii ndoo haiendi Liverpool ng'oooo,sijawahi kuona mtu mwenye allergy na makombe Kama klopp.
Mimi Ni arsenal fan,but kwangu potential title contenders ni spurs na Man United.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa tunasema GINI-HENDO-MILNER hawawezi hata squad player wa Barcelona.
Na Salah-Firmono-Mane hawawezi kupata namba kwa Barcelona
Basi kuna mshabiki bora kila baada ya Mechi ttunayoshinda anakuja na comment ya Mipasho hapa kupinga kauli yetu hiyo.
Points zake hi hizi:
- Front three wetu Salah-Firmino-Mane wanacheza panga pangua Barcelona kwa kuwaweka bench Messi-Suarez-Dembele.
Kwahiyo anaamini kuwa Wachezaji wetu ni Bora kuliko Kikosi kizima cha Barcelona.
- Midgielders wetu Gini-Hendo-Milner wanacheza panga pangua Barcelona kwa kuwaweka Bench Busquet-Vidal-Arthur.
Huku akisahau kuwa aliyekuwa Mchezaji wetu bora COUTINHO basi kwenye kikosi cha Barcelona ni Mchezaji wa Sub.
Sasa mtu kama huyu anatwambia hatujui mpira.
Na bado,huu Ni mwanzo tu,narudia kauli yangu,hii ndoo haiendi Liverpool ng'oooo,sijawahi kuona mtu mwenye allergy na makombe Kama klopp.
Mimi Ni arsenal fan,but kwangu potential title contenders ni spurs na Man United.
Sent using Jamii Forums mobile app
FERNANDINHO pekee is greater than GINI-HENDO-MILNER combined together.
Huu ni unyanyasaji
Mi nakumbuka wakati napiga kabumbu nilikuwa najificha pia nikichoka[emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
"ila klopp kayataka mwenyewe tuu,sijui huyu mduu hendo anampendea nini aisee yani hata kwenye mechi kubwa anashindwa kujiposition na hata kuhamasisha wachezaji wenzake"hii point yako nimeipenda sana yani hendo hafai hata kuwa captain wa second eleven kwenye timu za championship leagueMlianza Na De bruyne maneno hayohayo akikosekana basi Citizens kwishney, sasa mmehamia kwa Fenandinho.
Na hata msimu uliopita Liver alishinda mechi tatu mfululizo dhidi ya Citizens na huyo Mbarazil yupo ndani.
Na msimu huu kachezea vichapo vitatu yumo humohumo ndani, je utaniambiaje kwa hilo...?
Acheni kukariri Citizens anafungwa tuu kama timu zingine.
Ila klopp kayataka mwenyewe tuu, sijui huyu mdudu Hendo anampendea nini aisee yani hata kwenye mechi kubwa anashindwa kujiposition na hata kuhamasisha wachezaji wenzie.
Sent using Jamii Forums mobile app
definetilyAs long as Henderson will remain to be our best choice Midfielder we'll never win anything
You are kidding eh!Na bado,huu Ni mwanzo tu,narudia kauli yangu,hii ndoo haiendi Liverpool ng'oooo,sijawahi kuona mtu mwenye allergy na makombe Kama klopp.
Mimi Ni arsenal fan,but kwangu potential title contenders ni spurs na Man United.
Sent using Jamii Forums mobile app
mimi nahisi yule jamaa sio shabiki wa liverpool maana yupo benet sana na masnitch
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatakiwa uvuke wote kwenye mstari isibaki hata theludhi moja kwenye mstari.Hapo nashindwa kuelewa mpira unatakiwa uwaje hadi teknolojia iseme goli?
Fact mkuuMan City anastahili pongezi.
Kama Klopp hajajifunza leo kwamba Gini, Hendo na Milner siyo right combination when it matters, hatakaa ajifunze tena.
Though, it Liverpool has shown the fight cementing the fact kwamba we are contenders.