mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 7,876
- 22,652
Aha wapi😃Leo supu ya kuku tunainywa hapo hapo Anfield
Aha wapi😃Leo supu ya kuku tunainywa hapo hapo Anfield
Asanteni kwa supu cc Saint AnneLeo supu ya kuku tunainywa hapo hapo Anfield
0 shoot on targetView attachment 3702971
🚨Alan shearer on Timber pulling Isak in the penalty box.
🗣️“It’s absolutely ridiculous that the VAR watch this and still chose to let it go, that’s one the worst thing to see from the game today, every decision looks to be against Liverpool in the game.”
“You could see that the second half was absolutely terrible because of the referee’s decision, Arsenal won it to the referee decision.” “Liverpool wouldn’t have lose this game if the referee wasn’t bias, and it’s a shame to the premier league at this point because everyone knows what the result could’ve been in the end.”
Hawa leo sio ku-walked alone tuu, n wame-run alone Pia 😂Guess, who walked alone today?
Na ikawa.Leo supu ya kuku tunainywa hapo hapo Anfield
Halafu wanalilia penalty.
Baada ya miaka 14 Arsenal kashinda Anfield.Leo supu ya kuku tunainywa hapo hapo Anfield
Isak pale angekwenda chini ni penati.Halafu wanalilia penalty.
Kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 26 Liverpool akiwa nyumbani alikosa on target aisee.
Lipo tatizo aisee. Kulilia kunywa penati ya Isak nk nk haisaidii sana.Man City kipigo Anfield
Arsenal kipigo Anfield
Iraola ajiangalie huwezi kuwa na Timu ya ushindani halafu huwezi kucheza na Timu kubwa hata kwenye uwanja wetu wa nyumbani.
Kwenye mpira hakuna anaupiga mwingi bali kuna kushinda mechi.
Hivyo ili ufanikiwe ni lazima uwafunge washindani wako sio kuonea vibonde tu na wale wakubwa waliojifia.
Lipo tatizo aisee. Kulilia kunywa penati ya Isak nk nk haisaidii sana.
Nadhani wamiliki na idara ya usajili watarejea kwenye mfumo wetu wa awali buy raw talent and develop maana kujifanya matajiri sokoni ndio hayo matokeo. Kocha anataka acheze high press lakini baadhi ya wachezaji huo mfumo unawaacha kabisa na kukosa output aafu sio Kila timu kocha atafanikiwa na mfumo ule Jana Arsenal wamepaki basi na kocha hakua na any clue namna gani aupite ule ukuta. Bora haya mambo anayapata mapema hii ili angalau apate nafasi kuweka kikosi sawa mazoezini.
YNWA