Few days ago, we were told kuwa it will be so hard kwa Gomez kuchukua Number tena kwa Lovren
The level of trolling on this platform man..
and please change that midfield, plan imefail,
Hivi kama hata kwenye Box lao hatufiki hilo goli tutafunga kwa njia gani?
Hivi kama hata kwenye Box lao hatufiki hilo goli tutafunga kwa njia gani?
Nakuambia kila siku wewe na kakundi kako hamjui kituHivi kama hata kwenye Box lao hatufiki hilo goli tutafunga kwa njia gani?
Aguero anahasira sana na sisi mechi nyingi namuonaCity Wamekuja na Moto Lol!