Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ni kweli mumejenga timu na matunda yanaonekana. Apo Klopp anahitaji pongezi za kutosha

Kwanini mliwanunua wachezaji ambao hamkuwa na future nao? Moreno mpka analalamika ubaguzi wa klopp unazani hilo liko sawa??

Sent using Jamii Forums mobile app

Klopp hana Kawaida ya Kuleta Misukule Kwenye Timu.

Hao hakuwanunua yeye Bali aliwakuta wameletwa na Waliomtangulia.

Na Ndiyomana anaondosha mmoja mmoja kila Window!

• Alianza na kina Kolo Toure, Benteke na Ibe

• Akaja na Sakho

• Akaja na Flanagan

• Akaja na Karius na Ings

• Sasahivi list inasomeka Ni Moreno, Origi na Mignolet.

• Then Sturridge, Makovic na Solanke

• Baadae tunamaliza kupiga msasa kwa kuwaondosha Lovren, Clyne, Lallana na Fake Captain Hendo.

Mpaka hapo tutakuwa na Liverpool pure kabisa.
 
Wameshindwa hoja sasa wanaleta vioja! Hakuna mtu kamili hata klopp na yeye hajakamiliki like the rest of us, so sometimes anakosea tu na anahitaji kurekebishwa.
So what i see here when you give your opinion about our team in a positive way unaambiwa unamfundisha kocha kazi, everybody is entitled to their opinions and thats a fact.


Sent using Jamii Forums mobile app

Tena Wanajotoa Kimasomaso wale wote waliokuwa Wakitushambulia tunapomkosoa Klopp kwa Kuwachezesha Wachezaji Wabovu.

Sasa Wanaona Aibu Hata Wacheze Uzuri Vipi Kina FABINHO, XHAQIRI, GOMEZ na ALISSON basi wanajifanya kupotezea hawawasifii Coz Nafsi Zinawasuta kwa Kitendo Chao Cha Kutushambulia Tulipokuwa tukikosoa Wachezaji waliokuwa Wakizicha Nafasi Hizo.

MIGNOLET - ALISSON
GOMEZ - LOVREN
FABINHO - HENDO
XHAQIRI - MILNER
 
Kufungwa tunaweza fungwa mkuu ila tunaomba isitokee iyoo
Game za Man u na chelsea ni hatar kwetu lazima tupambane mpaka mwisho

Sent using Jamii Forums mobile app
Msiwasahau lester city msizani walibahatisha hizi mechi za kalibuni wapo vizuri sana nilivyo waona.

Na nibora ukutane na Man city atakua na displin kuliko Lecter kwa maana hawana cha kupoteza zaidi ya sifa wa kiwin.
 
sitaki hata kuzizungungumzia penat zilizotokea mkuu kwani naamini kabisa tumepoteza ila katika mpira haiko hivyo unavyotaka kuaminisha watu hivi hujui kuna matukio katika mchezo yanaweza kuathiri ari na morali za wachezaji uwanjani ikiwemo maamuzi ya refa,ila yote ya yote mlikuwa bora nyumbani kuliko sisi na kukubali kushindwa ndio sifa ya mchezo
ni sahihi nadhani marefa msimu walipata kalipio au ndio upepo wa bahati na marefa upo nasi...

nasema kalipio maana takwimu za msimu uliopita zilionyesha Liverpool ndio timu ilitendewa sivyo na marefa aidha kwa kunyimwa penati na makosa mengine uwanjani hivyo msimu pengine wamejirekebisha na kututendea haki...

ni sahihi uwanja wa nyumbani jana tumeutumia vyema kabisa mashabiki Anfield walikua on thier toes mwanzo mwisho...

umepoteza jana jipange na yajayo maana hio tayari no done deal...
 
Hahahaaaa... Alichokifanya Gerrard anaweza kukifanya hata VVD. So don't get it twisted.

Kwa taarifa yako Gerrard jana kashinda kamfunga kocha wake Rogers. Kwa sasa wanalingana point sema kazidiwa kwa goal difference.

Sent using Jamii Forums mobile app
sio goal difference tu mbali Rangers wamezidi mchezo mmoja pia....all in all hii derby Rangers hawajashinda kwa zaidi ya gemu 7 wamekua wakipigwa wao tu hivyo ushindi wao jana ni shangwe sana...

kijana wetu Kent hakumwangusha Gerrad...
 
Hao hawajui maana ya ushabiki, wanataka mchezaji abaki tu timu moja na akiondoka wanamchukia mazima na kufikia hatua ya kumuombea mabaya.

Kama kupata majeruhi, aanguke afe....

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha ndivyo nilivyomsoma jamaa hatar sana hajui kama timu zao zinaongoza ligi na uhakika wa kubeba ndoo coutinho kishabeba ndoo kule barca
 
Ni kweli mumejenga timu na matunda yanaonekana. Apo Klopp anahitaji pongezi za kutosha

Kwanini mliwanunua wachezaji ambao hamkuwa na future nao? Moreno mpka analalamika ubaguzi wa klopp unazani hilo liko sawa??

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona huzungumzii kina FABREGAS kupigwa benchi so FABREGAS alinunuliwa wa nini??

Kila kitu kina mahala pake sahihi katika muda sahihi

Yaan kwa akili yako Moreno acheze Robertson apigwe bench ww utakua punguani kias gani???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi ni story tu. Kabla ya 2004 kulikuwa na mashabiki wangapi wa Chelsea hapa Tanzania? Wengi tunaowajua walikuwa ama sio mashabiki wa Mpira au walihamia Chelsea toka timu nyingine
Sisi tulikuwepo kabla ya Chelsea ya 2004. Na pia tumeshudia timu ikibeba makombe.

Wewe ni fan wa Liverpool kutokana na historia yake. Hujawahi "SHUHUDIA" wala kunyanyua kwapa kwenye kombe lolote..

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom