Jaslaws
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 6,016
- 5,300
mambo mengine yanashangaza hivi kati ya liverpool na arsenal nani kasota sana!!?Hii ni fact mkuu na huu ndo msimu mzuri kwa Liverpool maana kasota sana. Na asipofanya lolote la maana msimu huu basi itakuwa ni bora Klopp afukuzwe maana Timu ndo imefika kwenye Peak yake hivyo hawana budi kufanya mazuri.
Hata hivyo Unai anaitaji pongezi sana kwa sababu bado kaonesha kwamba anaweza kujenga timu yenye ushindani ndani ya EPL..
Sent using Jamii Forums mobile app