Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mkuu tusubiri panel ya kikao cha marefa kesho kama Salah alijiangusha kutafuta penati basi watamfungia...

aafu hata ukitoa magoli ya penati bado aseno kafa chaliiiiiiii bila ubishi...
sitaki hata kuzizungungumzia penat zilizotokea mkuu kwani naamini kabisa tumepoteza ila katika mpira haiko hivyo unavyotaka kuaminisha watu hivi hujui kuna matukio katika mchezo yanaweza kuathiri ari na morali za wachezaji uwanjani ikiwemo maamuzi ya refa,ila yote ya yote mlikuwa bora nyumbani kuliko sisi na kukubali kushindwa ndio sifa ya mchezo
 
hongereni kwa ushindi mkubwa wana liverpool hakika ilikuwa ni worst defeat kwa sisi mashabiki wa GUNNERS ,bila kupepesa macho mpo vizuri kwa sasa mpo na form nzuri na ari ya ushindani kuanzia wachezaji,kocha mpaka mashabiki wenu.......ama kweli ilikuwa rekodi nzuri sana kwenu na mbaya kwetu.Jambo nililoliamini ni kwamba kweli Mungu ni wa wote maana haangalii huyu yupo katika hali gani nimpe hiki bali anagawa rizki bila kuangalia yaani kwa liverpool hii iliyobarikiwa kila kitu na bado anaipa na bahati juu....kweli mwenye nacho ataongezewa.....All in all yaliyopita si ndwele tugange yajayo tumepoteza game ya 5 mwaka huu 4 zikiwa za ligi so mapambano yanaendelea ,mpira ni mchezo wa makosa na adui anatumia madhaifu yako kukuadhibu ,timu yangu haipo balanced hilo linafahamika na mumefanikiwa kutumia madhaifu niliyonayo kuniadhibu...................naamini kocha wangu atalitumia vema dirisha hili kurekebisha na kuziba mapengo yaliyopo na tutarudi vizuri...........

hongera King Ngwaba Don Clericuzio nguvu Malafyale MosDef ipogolo zumbemkuu Janjaweed MASAMILA na wanaliverpool wooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooteeeeeeeeeeeeeeeeeee

hakika leo mtakuwa mmepata usingizi mzuri sanaaaaaaaaa

Tuombe Mungu atupe uzima na afya wote humu jamvini ili tuweze kufika may salama ili tufunge hesabu.

ASUBUHI NJEMA.

THIS IS FOOTBALL.
Mkuu ujumbe wako ni hapo kwenye sentensi ya kufunga hesabu. Kuna watu watarushiana makopo kwenye majukwaa yao. Lets wait

Sent using Jamii Forums mobile app
 
not sure Klopp il aim for a draw cz he never does, he will load his guns to shot accuratly wen given th chance reason City wont sit back n wait fot us to attack n them being at home il aim to win n at least reduce th points to four...

that being th case means City wil press high to score as early as possible n kill our momentum n that where we wil punish em cz wen they press n lose th ball they wil suffer our front three r used to shine on those situation...

am sure thier settin il differ ow they played first game at Anfield...

t il be an open game...

The time ambayo City alikuja Anfield alikuwa na target ya droo, sisi ndo tulihitaji ushindi zaidi ingawa matokeo ya droo hayakuwa mabaya.

This time City desperately needs to win, while a droo to us is very favorable.

Kwa hiyo Klopp ataweka kikosi ambacho in every means ni kuhakikisha hatufungwi, hatahangaika kutafuta ushindi, ila ukija itakuwa shangwe.
 
y

aiseeeeee nimekubali mkuu yaani kumaliza game ya arsenal tu unatangaza ubingwa hahahahahaha hata mimi nakuunga mkono

It ain't a guarantee kuchukua ubingwa, ila ukitick box la milestone to winning it, tuko above expectations.

Suppose ukiambiwa uweke hela kwamba Liverpool atachukua au atapoteza, utaweka wapi?

Kwa matokeo ya jana ya Tottenham na ya Liverpool utakuta hata bookmakers wameadjust vitabu vyao in favor of Liverpool.
 
Hiyo ni kawaida kwenye michezo, hakuna timu italast forever bila kufungwa.

Swali litakuja, ni nani unadhani ana uwezo wa kuifunga? Tukimtoa City.

City sio tishio kwetu!

Tishio halisi kwetu ni Man United.. Tuna rekodi mbovu kwao OT Hata Wanapokuwa Wabovu.

Never underestimate Man United wanpokutana na Liverpool.

Iwapo tutamalizana na Man United bila ya kufungwa Basi naweza kujigamba kuwa kwa zilizobakia hakuna Wa Kutufunga.
 
Hahaha hatimaye wanakubali mdogo mdogo..

Last week ilikua zamu ya wale wa Chelsea kukubali akina Ollachuga na Southern Highland.. Eden Kimario sijui kama yupo hai..

Aroon ndugu zake wa Ass mtafuteni asije kuwa kashajinyonga huko

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tunaongea ukweli kabisa. Kwa sasa mko moto inabidi muhakikishe mnachukua makombe bila hivyo mtakuja kuniona SOUTHERN HIGHLAND ni mbaya.

Majungu Hayataisha. Tusubiri May Mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
City sio tishio kwetu!

Tishio halisi kwetu ni Man United.. Tuna rekodi mbovu kwao Hata Wanapokuwa Wabovu.

Never underestimate Man United wanpokutana na Liverpool.

Iwapo tutamalizana na Man United bila ya kufungwa Basi naweja kujigamba kuwa kwa zilizobakia hakuna Wa Kutufunga.

Unachosema ni sahihi mkuu, na hapo Fact ni Derby, hata Everton hawatakuwa wepesi.

Mimi nimebase kwenye quality, nikiwa nimeondoa factors zingine zote kama bahati, homecourt advantage, human mistakes zinazoweza kufanywa na wachezaji.

18 games ni a lot, hasa ukichukulia kutakuwa na FA na UEFA.
 
Hahahaaaa... Alichokifanya Gerrard anaweza kukifanya hata VVD. So don't get it twisted.

Kwa taarifa yako Gerrard jana kashinda kamfunga kocha wake Rogers. Kwa sasa wanalingana point sema kazidiwa kwa goal difference.
Naamini na wewe ni katika Wanaoamini kuwa Mpaka leo Gerrard ni Mchezaji Wa Liverpool!!

Kwahiyo bado unatarajia atakuja kujikwaa mechi ya mwisho ili tufungwe.

Mkuu Gerrard ni Kocha Wa Rangers kama hujui.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hongereni kwa ushindi mkubwa wana liverpool hakika ilikuwa ni worst defeat kwa sisi mashabiki wa GUNNERS ,bila kupepesa macho mpo vizuri kwa sasa mpo na form nzuri na ari ya ushindani kuanzia wachezaji,kocha mpaka mashabiki wenu.......ama kweli ilikuwa rekodi nzuri sana kwenu na mbaya kwetu.Jambo nililoliamini ni kwamba kweli Mungu ni wa wote maana haangalii huyu yupo katika hali gani nimpe hiki bali anagawa rizki bila kuangalia yaani kwa liverpool hii iliyobarikiwa kila kitu na bado anaipa na bahati juu....kweli mwenye nacho ataongezewa.....All in all yaliyopita si ndwele tugange yajayo tumepoteza game ya 5 mwaka huu 4 zikiwa za ligi so mapambano yanaendelea ,mpira ni mchezo wa makosa na adui anatumia madhaifu yako kukuadhibu ,timu yangu haipo balanced hilo linafahamika na mumefanikiwa kutumia madhaifu niliyonayo kuniadhibu...................naamini kocha wangu atalitumia vema dirisha hili kurekebisha na kuziba mapengo yaliyopo na tutarudi vizuri...........

hongera King Ngwaba Don Clericuzio nguvu Malafyale MosDef ipogolo zumbemkuu Janjaweed MASAMILA na wanaliverpool wooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooteeeeeeeeeeeeeeeeeee

hakika leo mtakuwa mmepata usingizi mzuri sanaaaaaaaaa

Tuombe Mungu atupe uzima na afya wote humu jamvini ili tuweze kufika may salama ili tufunge hesabu.

ASUBUHI NJEMA.

THIS IS FOOTBALL.

Well said indeed!
 
Hahahaaaa... Alichokifanya Gerrard anaweza kukifanya hata VVD. So don't get it twisted.

Kwa taarifa yako Gerrard jana kashinda kamfunga kocha wake Rogers. Kwa sasa wanalingana point sema kazidiwa kwa goal difference.

Sent using Jamii Forums mobile app

Gerrard ile game alishasema mapema vijana watafia uwanjani, iwe mvua iwe jua.

Na akasema pamoja na kuwa na majeruhi, waliopo watafanya kazi na ushindi unawezekana, jamaa kajua kuwamotivate sana wachezaji wake aisee.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom