Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Unachosema ni sahihi mkuu, na hapo Fact ni Derby, hata Everton hawatakuwa wepesi.

Mimi nimebase kwenye quality, nikiwa nimeondoa factors zingine zote kama bahati, homecourt advantage, human mistakes zinazoweza kufanywa na wachezaji.

18 games ni a lot, hasa ukichukulia kutakuwa na FA na UEFA.
kwakuwa nimemalizana na upande huu mimi yangu macho tu na kuleta majungu pale inapostahili maana mpira wa miguu una maajabu yake bwana .......na hivyo ulivyoviexclude ndio vinavyochagiza maajabu hayo na utamu wa soka lenyewe.........matokeo na utamu wa soka hauletwi na ubora pekee mkuu,watu kama nyinyi ndio mnaishiaga kukimbia nyuzi zenu rejea game ya barcelona vs rel betis .........hahhahahahahaha let's wait nigga
 
Daah mkuu leo umekuwa mpolee sanaa,umekubali kwa shingo upandee.
Ila umetutega apo pa kukutana may kufanya hesabu aseee,lolote laweza tokea tuombeanee
hongereni kwa ushindi mkubwa wana liverpool hakika ilikuwa ni worst defeat kwa sisi mashabiki wa GUNNERS ,bila kupepesa macho mpo vizuri kwa sasa mpo na form nzuri na ari ya ushindani kuanzia wachezaji,kocha mpaka mashabiki wenu.......ama kweli ilikuwa rekodi nzuri sana kwenu na mbaya kwetu.Jambo nililoliamini ni kwamba kweli Mungu ni wa wote maana haangalii huyu yupo katika hali gani nimpe hiki bali anagawa rizki bila kuangalia yaani kwa liverpool hii iliyobarikiwa kila kitu na bado anaipa na bahati juu....kweli mwenye nacho ataongezewa.....All in all yaliyopita si ndwele tugange yajayo tumepoteza game ya 5 mwaka huu 4 zikiwa za ligi so mapambano yanaendelea ,mpira ni mchezo wa makosa na adui anatumia madhaifu yako kukuadhibu ,timu yangu haipo balanced hilo linafahamika na mumefanikiwa kutumia madhaifu niliyonayo kuniadhibu...................naamini kocha wangu atalitumia vema dirisha hili kurekebisha na kuziba mapengo yaliyopo na tutarudi vizuri...........

hongera King Ngwaba Don Clericuzio nguvu Malafyale MosDef ipogolo zumbemkuu Janjaweed MASAMILA na wanaliverpool wooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooteeeeeeeeeeeeeeeeeee

hakika leo mtakuwa mmepata usingizi mzuri sanaaaaaaaaa

Tuombe Mungu atupe uzima na afya wote humu jamvini ili tuweze kufika may salama ili tufunge hesabu.

ASUBUHI NJEMA.

THIS IS FOOTBALL.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaaaa... Alichokifanya Gerrard anaweza kukifanya hata VVD. So don't get it twisted.

Kwa taarifa yako Gerrard jana kashinda kamfunga kocha wake Rogers. Kwa sasa wanalingana point sema kazidiwa kwa goal difference.

Sent using Jamii Forums mobile app

Tukizungumzia Accident Waiting to happen Hata Coastal Union kutoka Mwambao Wa Tanga wanaweza kuwafunga Barcelona! Lakini Kwenye Uhalisia hawataweza.

Kwahiyo kwasasa Tukiangalia performance Basi hakuna Wa Kitufunga! Ila tukiangalia Other Physical Factors like Own goal, Bahati, Human error, Referee decision, injuries and so on! Basi tunaweza kufungwa.
 
Kufungwa tunaweza fungwa mkuu ila tunaomba isitokee iyoo
Game za Man u na chelsea ni hatar kwetu lazima tupambane mpaka mwisho
Tukizungumzia Accident Waiting to happen Hata Coastal Union kutoka Mwambao Wa Tanga wanaweza kuwafunga Barcelona! Lakini Kwenye Uhalisia hawataweza.

Kwahiyo kwasasa Tukiangalia performance Basi hakuna Wa Kitufunga! Ila tukiangalia Other Physical Factors like Own goal, Bahati, Human error, Referee decision, injuries and so on! Basi tunaweza kufungwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwakuwa nimemalizana na upande huu mimi yangu macho tu na kuleta majungu pale inapostahili maana mpira wa miguu una maajabu yake bwana .......na hivyo ulivyoviexclude ndio vinavyochagiza maajabu hayo na utamu wa soka lenyewe.........matokeo na utamu wa soka hauletwi na ubora pekee mkuu,watu kama nyinyi ndio mnaishiaga kukimbia nyuzi zenu rejea game ya barcelona vs rel betis .........hahhahahahahaha let's wait nigga

Jaribu kufuatilia uone, kuna nyuzi hata matokeo yawe mabaya watu hawakimbii, wanajadili wape pameenda vibaya, nini kifanyike nk. Huu ni moja ya nyuzi hizo.

Imagine kule kwenu mmekimbia na hali iko hivi, je mngekuwa na hali kama aliyopitia Man Utd hata JF msingeingia kabisa.
 
Kufungwa tunaweza fungwa mkuu ila tunaomba isitokee iyoo
Game za Man u na chelsea ni hatar kwetu lazima tupambane mpaka mwisho

Sent using Jamii Forums mobile app
katika soka mkuu kuna saplaiz nyingi sana usikute hata hao unaowasema wewe hapo ukawapiga vizuri tu ukaja kupigwa na everton,cardiff hata fulham soka soka soka shikamoo soka sikuamini siku barca anavyokufa pale nou camp dhidi ya real betis tena kichapo heavy wakati real madrid amegongwa 5 na barca huyohuyo
 
wa kawaida du kwasababu nimepiga mimi hao

Screenshot_20181230-101249.jpg
 
Hatusubiri ajali itokee ila chochote kinaweza kutokea.
Tukizungumzia Accident Waiting to happen Hata Coastal Union kutoka Mwambao Wa Tanga wanaweza kuwafunga Barcelona! Lakini Kwenye Uhalisia hawataweza.

Kwahiyo kwasasa Tukiangalia performance Basi hakuna Wa Kitufunga! Ila tukiangalia Other Physical Factors like Own goal, Bahati, Human error, Referee decision, injuries and so on! Basi tunaweza kufungwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umekosa hoja tyr maana umejifunga funga kamba mwenyewe

Mpira haupo kwa kukariri kariri
Ww kushinda game 22 ukajiona ushakua mwamba

Vp Torrori alikuepo jana?
Shaka je?

Huyo zuwena zubeda muulize yuko wap na napoli wake sasa hivi

3-2
1-1
5-1

Ndomaana mnajinyonga sanaa

Ile siku mlitoa draw mkapat kibur
Nikawaambia makosa yalifanyika kuw chezesha mids kwenye role ambazo hawajazizoe thus y mliiona draw
kama wewe unavyowaona wababe wale zuwena zubeda waliokupiga 2 kavu.......SIMPLE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umekosa hoja tyr maana umejifunga funga kamba mwenyewe

Mpira haupo kwa kukariri kariri
Ww kushinda game 22 ukajiona ushakua mwamba

Vp Torrori alikuepo jana?
Shaka je?

Huyo zuwena zubeda muulize yuko wap na napoli wake sasa hivi

3-2
1-1
5-1

Ndomaana mnajinyonga sanaa

Ile siku mlitoa draw mkapat kibur
Nikawaambia makosa yalifanyika kuw chezesha mids kwenye role ambazo hawajazizoe thus y mliiona draw

Sent using Jamii Forums mobile app
katika washangiliaji wa liverpool hopeless ndio wewe mmojawapo maana huwezi kuwepo katika list ya mashabiki wa liverpool hapa jamvini, sasa kama mwenyewe unakili kuwa katika mpira kuna mengi yanaweza kutokea na mfano ukautoa wa mimi kucheza game 22 bila kupoteza na nikaja kupoteza ,je inashindikana vipi kwako? grow up mkuu THIS IS FOOTBALL........last season simba alicheza game zote za ligi hakupoteza ila akaja kupigwa kwa mchina uwani kwake mbele ya rais na siku ya kuchukua kombe ilikuwa aibu ila ndio utamu wa soka ulipolalia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom