Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ona umepanik sasa
Ni hivi nimekupiga tano kwa moja

Ukipaniki nakuongeze dozi

CHUKUA HII

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ha
po sikuungi mkono hata iweje mkuu,kila jukwaa la soka humu JF lina mashabiki na washangiliaji wake........so kuwepo kwa glory hunter ni kawaida tena sana katika jukwaa lolote na hili ndilo jukwaa linaloongoza kuwepo kwa glory hunter kuliko jukwaa lolote hapa JF usione utitiri wa raia wanaojifanya washabiki wa liver msimu huu ukapagawa mkuu hao wanatokana na hii unbeaten run mliyonayo kwa sasa ngoja mpoteane ndipo utakapoamini maneno yangu,humu tutamuona Malafyale na wenzake wasiozidi watatu...........katika timu yenye washabiki wenye roho ngumu na wavumilivu basi ni ARSENAL so hakuna wa kukimbia kama nimeweza kucomment hapa nashindwaje kule.........COYG
 
Kwa iyo wewe una amini hii ndo Liverpool bora kuwahi kutokea kuliko Liverpool zote?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu asante mimi hopeless

Sasa nimegrow nisha kupiga 5-1

Nasubir uniambie nimature uone utapigwa ngap

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni fact mkuu na huu ndo msimu mzuri kwa Liverpool maana kasota sana. Na asipofanya lolote la maana msimu huu basi itakuwa ni bora Klopp afukuzwe maana Timu ndo imefika kwenye Peak yake hivyo hawana budi kufanya mazuri.

Hata hivyo Unai anaitaji pongezi sana kwa sababu bado kaonesha kwamba anaweza kujenga timu yenye ushindani ndani ya EPL..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakosea unai ni mwaka wa kwanza huu klopp msimu wa 4 anautafuta bado na yeye unai anaendelea kutafuta watu wake sahihi kwa kazi aliyofanya kocha wa arsenal anastahili pongez.
Tayari amesahau struggle alizopitia misimu miwili/mitatu nyuma..

Bado Unai ni kocha mzuri sana. Hata hivyo klopp ni kocha bora pia..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napata mashaka na uelewa wako juu ya Liverpool, slogan ya "You Will Never Walk Alone" ungeacha kumuandama captain wenu kwa matusi aliewafikisha hapo mlipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
King Ngwaba haendani na slogan YNWA. Hendo ni captain na anaowaongoza Anfield wana mpa heshima. Mzaramo anapiga unyende akiwa kwenye screen .Hendo ndiye atapokea ndoo kutoka kwa Mgeni.
Hendo atapokea CL kombe 2019 may. Respect the captain.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ona umepanik sasa
Ni hivi nimekupiga tano kwa moja

Ukipaniki nakuongeze dozi

CHUKUA HIIView attachment 981014

Sent using Jamii Forums mobile app
siwezagi kupaniki katika soka mkuu,mimi ndio shabiki wa arsenal niliyecheki mpira mwanzo mwisho jana dhidi ya kundi la mashabiki wa liverpool na baada ya hapo tukaanza kujadiliana mawili matatu kuhusiana na mechi,bila kusahau kile kichapo heavy kutoka man utd 2012 na ile 6 mtungi kutoka kwa majirani zangu chelsea...... mimi ndio nilibaki bandani mpaka kipenga cha mwisho kinapigwa,kwasababu ukiacha kuwa mimi ni mshabiki nguli wa arsenal lakini mimi ni mpenzi wa soka ndio maana huwa naangalia hata game za championship.......so kuwa na amani
 
mmechelewa sana kujua hili jambo kuhusu huyo mtu, huyo ni mshangiliaji sio mshabiki
Malafyale knows
 

Hill jukwaa mashabiki niliokuwa nawaona kila daily tangu liver inasota mpaka leo ni watatu tu.

Lakini sasa naona kundi jipya kabisa la mashabiki na sijui muda wote walikuwaga wapi ..hongera nyingi ziende kwake Malafyale kama shabiki bora wa Liverpool kwake hali zote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante @Dullyjr.huo ndio ukomavu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tayari amesahau struggle alizopitia misimu miwili/mitatu nyuma..

Bado Unai ni kocha mzuri sana. Hata hivyo klopp ni kocha bora pia..

Sent using Jamii Forums mobile app
wajiulize klopp ana msimu wa ngapi EPL na unai ana msimu wa ngapi? na wajijibu wenyewe klopp amebeba kombe gani mpaka sasa ndio waje kumlinganisha na unai.....waache kulewa ushindi ushindi wafikilie zaidi mafanikio ya msimu kuliko kulewa na mafanikio ya mechi
 
Kweli Dully. Maajabu katika futboli yapo
Liverpool mlimtabiria September atafungwa( hakupoteza) mkahamia October ( akapeta) Mkarukia December kabla ya xmass ( akapenya) mkasema arsenal atamsimamisha( jana umeshuhudia ngwede moja)
Anzeni utabiri mpya(2019).
Happy New year Dully.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…