Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Halafu unatokea Msukule From Nowhere unadai eti Unai anamsumbua Klopp 😀

Kwa Liverpool hile ya Kolo Toure, Sakho, Lovren, Moreno, Mignolet, Henderson na Original asimsumbue afanyeje 😀😀

Na Aje amsumbue na hii ya Alisson, Robbo, Fabi, Gini, Salah, Bobby, Mane na Xhaqiri 😀😀
mkuu shauri yako hapo ulipo muunganisha hendo kwenye group la kwanza patakucost

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG_4829.JPG

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Niamimi utapigwa tu tena si chini ya mech 3 tunza hii post.

Liverpool naweza kumaliza ligi bila kufungwa, ni ile culture ya kuwa carried away kwa sababu ya ushabiki.

Ingawa on squad comparisons kabla kila timu haijafanya usajili January ni City peke yake mwenye kikoki na benchi bora kuliko Liver, ila utashangaa tunapigwa na timu za ajabu
 
Yaa ni kweli city on paper alikuwa vizur sana naona baada ya kupigwa na crystal palece timu nyingi zimetoa woga pia hata baadhi ya watu wanasema majeruhi yanawakost sio sawa na nyie injuries zimewapita pembeni kwenye key players

Ila kupigwa na kusuluhu kupo tu
 
Guys KLOPP anapaswa kumpumzisha VVD wakati mwingine maana daaaah jamaa kacheza mechi zote 20 za EPL.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu ni engine yetu ya defense hawez pumzishwa overall ni moja ya madefender wanacheza kwa akili sana na consistency ya badaa cha muhimu ni kupata machine nyingine km hii January tukimpata kalibaly tumefunga kaz tutakuwa hatukamatiki uerope nzima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Arsenal kawapa maujiko, hongereni.

Hongera pia kwake refa, maana kafanya kazi ya ziada.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu bila refa arsenal wapo vibaya sana japo refa alikuwa na matatizo yake lakini kumfunga liverpool hii arsenal ni ngumu sana walikuwa lazima wafe angalia mchezaj mmoja mmoja wa liverpool kisha na arsenal ukiangalia upande wa bek tu mechi imeisha wao arsenal wanachukua mabek ya bure wenzao wanatoa pesa

Mane,filmino na salah

Wao

Aubameyang huyu big game zote ni flop

Iwob hata goli 5 za ligi hana

Sijui na nini tena unashindaje?
 
Ni kweli mkuu lakini arsenal sio timu ya kupigwa goli tano tena za kizembe kama za Firmino. Pia unai nae kachangia timu kupigwa, maana lacazete una muacha nje Ozil ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu unatokea Msukule From Nowhere unadai eti Unai anamsumbua Klopp 😀

Kwa Liverpool hile ya Kolo Toure, Sakho, Lovren, Moreno, Mignolet, Henderson na Original asimsumbue afanyeje 😀😀

Na Aje amsumbue na hii ya Alisson, Robbo, Fabi, Gini, Salah, Bobby, Mane na Xhaqiri 😀😀
From nowhere tu anajitokeza mpiga ramli mmoja kujaribu kuilinganisha Liverpool na gar lao la mkaa sasa matokeo yake ndo hayo ile dhambi ya kutukosea wana Liverpool kujaribu kuilinganisha Liverpool na vitu vya ajabu ajabu imemtafuna mapema tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli mkuu lakini arsenal sio timu ya kupigwa goli tano tena za kizembe kama za Firmino. Pia unai nae kachangia timu kupigwa, maana lacazete una muacha nje Ozil ..

Sent using Jamii Forums mobile app
Ozil ni kama mpo pungufu tu labda huyo lacazatte pia naona ni mapema sana kumlaum unai maana huu ndo msimu wake wa kwanza sina shida na kocha kwa upande wangu yapite madirisha ya usajili angalau mawili tuanze kumlaumu huyo klopp msimu wa nne huu anautafuta na huu ndo msimu ambao kaipata timu sahihi hivyo tuwape muda ,,,,, arsenal bado dhaifu sana upande wa beki 2 na 3-- 4 na 5 ushambuliz wapo vizur wapate na kiungo mmoja wa kusaidiana na torreira kuna yule dogo nilikuwa namuonya sana mbeba picha za torreira timu yake bado asiangalie ule upepo wa unbeaten vs cardif akikutana wa watu ambao wanazihitaji point 3 zao watapata matatizo kalikuwa kabishi yako wapi?

Torreira anaangushwa kama mtoto sasa .
 
Halafu unatokea Msukule From Nowhere unadai eti Unai anamsumbua Klopp 😀

Kwa Liverpool hile ya Kolo Toure, Sakho, Lovren, Moreno, Mignolet, Henderson na Original asimsumbue afanyeje 😀😀

Na Aje amsumbue na hii ya Alisson, Robbo, Fabi, Gini, Salah, Bobby, Mane na Xhaqiri 😀😀
Unakosea unai ni mwaka wa kwanza huu klopp msimu wa 4 anautafuta bado na yeye unai anaendelea kutafuta watu wake sahihi kwa kazi aliyofanya kocha wa arsenal anastahili pongez.
 
kwani mechi ya kwanza hujaiona mkuu?nenda youtube alafu angalia man of the match alikuwa nani,mpira tulitawala kwa zaidi ya asilimia 60 na nyinyi mlikuwa na 30s sasa hapo utasema wewe una kiungo cha kubattle na kiungo cha ARSENAL?wakati fabinho alikuwa anarambishwa nyasi na kina gue na torreira hahahahahahahahahah
Five o'clock. Umeona Torreira alivyodondoka chenga ya Firmino!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom