Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Na Kikubwa Zaidi kinachonipa furaha Ni Kumuona Huyu Fake Captain Wetu anaanza kulizoea Bench kidogokidogo

Yani Captain mzima sasa hana uhakika Wa Kuanza 😀😀
Napata mashaka na uelewa wako juu ya Liverpool, slogan ya "You Will Never Walk Alone" ungeacha kumuandama captain wenu kwa matusi aliewafikisha hapo mlipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hata mimi nitasaidia kuisave nakuhakikishia mimi sio plastic fan nitakuwepo hapa kuwatia njaa kingazi na masika....................najua uwepo wa hizi shangwe zenu ni upepo tu,ukitoboa huu mwaka bila tundu kutobolewa mimi najipiga lifeban ..TUOMBE UZIMA

Cc Dully Jr
 
The following are few of my best moments as Liverpool FC fan for 2018;-
  1. 14 Jan 2018, Liverpool inakuwa timu ya kwanza kuifunga Man City 4 - 1 msimu wa 2017/2018
  2. CL Quarter Finals vs Man City, winning all two legs 5 - 1 aggregate (April 2018)
  3. CL Semi Final vs AS Roma, first leg win 5 - 2 eventually winning on aggregate 7-6 (April/May 2018)
  4. Kicking Man Utd's ass at Anfield 3 - 1 on 16 Dec 18
  5. Kicking Arsenal's ass 5 - 1, going 20 league games unbeaten
  6. A 3 - 2 win vs PSG in CL opening game group stages was one sweet as well.
Please lads, give me the best this 2019.
 
msimu huu umeniweza mkuu,sasa pambania ubingwa tu

Mkuu
Unai ni kocha mzuri sana lkn karithi team mbovu isiyo na beki,matatizo ya Unai alikuwa nayo Klopp alipo ichukua Liverpool.
June akileta beki wawili wa maana na kiungo mmoja wa mbele mnarudi kuwa imara!
Wewe na wenzako endeleeni kuwa pamoja na team bila kutukana wachezaji wenu,mtakuwa OK


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom