Masterclass🙌🏻🙌🏻[emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ratiba yetu ya December:
1) Liverpool 1 - 0 Everton (EPL)
2) Burnley 1 - 3 Liverpool (EPL)
3) Bournemouth 0 - 4 Liverpool (EPL)
4) Liverpool 1 - 0 Naples (UCL)
5) Liverpool 3 - 1 Manure (EPL)
6) Wolverhampton 0 - 2 Liverpool (EPL)
7) Liverpool 4 - 0 Newcastle (EPL)
8) Liverpool 5 - 1 Arsenal (EPL)
• Katika Michezo 8 tuliyocheza kwa Siku 28 za December tumeshinda yote.
• Kati ya Michezo hiyo 8, Ni 7 kati yao ya EPL ambayo tumejikusanyia Points zote 21/21 (100%).
Na Mchezo mmoja Wa UCL ambao tumecheza dhidi ya Naples na tumemfunga.
tunaelekea pazuri, vijana wanasikiliza walimu wa kila idara na hatimae upangaji wa kikosi upo safi kabisa...[emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ratiba yetu ya December:
1) Liverpool 1 - 0 Everton (EPL)
2) Burnley 1 - 3 Liverpool (EPL)
3) Bournemouth 0 - 4 Liverpool (EPL)
4) Liverpool 1 - 0 Naples (UCL)
5) Liverpool 3 - 1 Manure (EPL)
6) Wolverhampton 0 - 2 Liverpool (EPL)
7) Liverpool 4 - 0 Newcastle (EPL)
8) Liverpool 5 - 1 Arsenal (EPL)
• Katika Michezo 8 tuliyocheza kwa Siku 28 za December tumeshinda yote.
• Kati ya Michezo hiyo 8, Ni 7 kati yao ya EPL ambayo tumejikusanyia Points zote 21/21 (100%).
Na Mchezo mmoja Wa UCL ambao tumecheza dhidi ya Naples na tumemfunga.
Haki Ya Nani Liverpool hii ingelikuwa Ni Basi pale Ubungo hakika ingelikuwa ABC Super Class au Dar Lax😀😀
Na Arsenal kama Ni Basi ingelikuwa Turu Best ya Mbeya - Singida au Kaprikon ya Dar - Singida
masterclass purchase....whats a player...bring Manshit anytym anywhere we r ready...
Bobby at his best maaaaaan Samba street futball live bila chenga
😀😀😀😀😀😀😋😋😋😋Haki Ya Nani Liverpool hii ingelikuwa Ni Basi pale Ubungo hakika ingelikuwa ABC Super Class au Dar Lax 😀😀
Na Arsenal kama Ni Basi ingelikuwa Turu Best ya Mbeya - Singida au Kaprikon ya Dar - Singida [emoji23] [emoji23]