Good Man
JF-Expert Member
- Jul 2, 2015
- 932
- 1,173
Form ya Klopp na Vijana wake mara nyingi imekuwa nzur sana From February to April na kwa sasa Tunachokiona Kikubwa ni level of fitness ya wachezaj wetu dhidi ya wapinzan haswa katika kipindi hiki cha michezo ming kazi nzur ya Kiongoz mkuu wa Utimamu wa Mwili Andreas Kornmayer,meneja wa Uwezo wa kimichezo na matibabu mwili Philipp Jacobsen,Kiongoz wa Rutuba mwili ya vyakula Mona Nemmer,Daktar wa team Andy Massey,Kiongoz mkuu fizikia Lee Nobes wamefanya kazi nzur na mujarabu sana mpaka sasa na hata zile injury zimekuwa chache na ndogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
