Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kuna kipind team yetu ilikuwa dhaifu japo inashinda kutokana na Mido flat ya Hendo, Gini & Milner.

Tulilia sana na hatimaye leo hii baada tu ya kufanyika mabadiliko na kuongezwa hawa viumbe Fabhino, Shaqir au Keita, ghafla tumekuwa na transformative ya performance ya hali ya juu.

Kwa mwendo huu sion mtu wa kutusimamisha.

Muhimu inabid tuuze wachezaj type ya Lalana, Origi, strurrige, Moreno, Mignolet then tununue wachezaj wa ukwel ambao watapelekea hata sub zetu kuwa za maana.

Mafano leo tulistahil kushinda beyond goli hata 7, sema subs mbovu za kutolewa Gini na Mane na kuingiza lalana zilitukwamisha kwa kias kikubwa tukapoteana pale kati na mbele hata mashambulizi yakapoa, Arsenal ingekuwa team makin ingeweza walau kurudisha goli hata 2+.

But hatujachelewa, Tutumie vizur dirisha dogo january hii angalau tuongeze wachezaj 3 tu wakutoa backup pale sub inapohitajika.
 
What's your take on City?

Sent using Jamii Forums mobile app

Aim for a draw man

win will be a bonus

if they win tomoz, gap itarudi kwenye 7

so if we lose against them tarehe 3 gap itakuwa ni 4, then pressure itakuwa kwetu tena

so tukienda na mentality ya kutaka kushinda, they will punish us, need to be calm and play for a draw whilst exploring chances za magoli

wont mind a Brexit midfield vs Man city man
 
We have won 5-1 against Arsenal today, but we were so open in the first half, Emery managed to come out few times but failed due to lack of quality offensive midfielders

Klopp gambled by starting Shaqiri in 2-1 shape midfield, and it paid off massively in transition (2nd and 3rd phases) but struggled a bit defensively

Play like that against City at Etihad and they will punish us handsomely
 
b53a82afd48aeca4185aec1f5a399301.jpg
 
Dah ile ilitisha sana, pale ndo unaanza kuhisi bahati wanazozipata mabingwa.

Sasa hivi naanza kuwaza tu jinsi timu pinzani zitakavyokuwa zinadili na sisi msimu ujao kama mabingwa watetezi.

Mkuu hata mimi naona kabisa it's coming HOME. Cha msingi kwenye hii window tuimarishe kikosi chetu zaidi, at least one or two players, a central defender and an attacking midfielder/striker.
 
Kuna kipind team yetu ilikuwa dhaifu japo inashinda kutokana na Mido flat ya Hendo, Gini & Milner.

Tulilia sana na hatimaye leo hii baada tu ya kufanyika mabadiliko na kuongezwa hawa viumbe Fabhino, Shaqir au Keita, ghafla tumekuwa na transformative ya performance ya hali ya juu.

Kwa mwendo huu sion mtu wa kutusimamisha.

Muhimu inabid tuuze wachezaj type ya Lalana, Origi, strurrige, Moreno, Mignolet then tununue wachezaj wa ukwel ambao watapelekea hata sub zetu kuwa za maana.

Mafano leo tulistahil kushinda beyond goli hata 7, sema subs mbovu za kutolewa Gini na Mane na kuingiza lalana zilitukwamisha kwa kias kikubwa tukapoteana pale kati na mbele hata mashambulizi yakapoa, Arsenal ingekuwa team makin ingeweza walau kurudisha goli hata 2+.

But hatujachelewa, Tutumie vizur dirisha dogo january hii angalau tuongeze wachezaj 3 tu wakutoa backup pale sub inapohitajika.

Nakubaliana na wewe mkuu...
 
Kuna kipind team yetu ilikuwa dhaifu japo inashinda kutokana na Mido flat ya Hendo, Gini & Milner.

Tulilia sana na hatimaye leo hii baada tu ya kufanyika mabadiliko na kuongezwa hawa viumbe Fabhino, Shaqir au Keita, ghafla tumekuwa na transformative ya performance ya hali ya juu.

Kwa mwendo huu sion mtu wa kutusimamisha.

Niamimi utapigwa tu tena si chini ya mech 3 tunza hii post.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom