Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Watu washatandika 4 huyu mpumbavu aliyeingia sasahivi anajifanya kufundisha 😡
Hivi yeye wa kumfundisha mtu vya kucheza wakati yeye mwenyewe tiamaji tiamaji!! 😀😀
Unaandika UPUUZI sana
WW hujui lolote kuhusu soka
Stop ujinga wako!
 
Unaandika UPUUZI sana
WW hujui lolote kuhusu soka
Stop ujinga wako!
mimi hizi mtu nyingine hazinisumbui kwani najua kuwa hawa ni washabiki wa mkopo wa liverpool ila wewe nakuelewa hasaaaaaaaaaaaaaaaaaaa wewe ni liverpool halisi kwa heshima yako naandika kwa red ink mkuu,leo nimekubali msimu huu upo vizuri mkuu ila najipanga kwa msimu ujao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom