Klopp ni m'baguzi.Kwa Maelezo ya Klopp Basi Huhitaji Degree kujua kuwa Moreno baada ya Msimu huu hatoendelea tena Kuichezea Liverpool.
Akatafute timu atakayopendwa na Kocha akachezee..
Ubora wa kipa unaonekana pale beki zinapo pwaya.😀😀😀
• Alisson conceded 7 goals kwa games 2 tu za CL v/s Liverpool last seasom.
• Alisson conceded 7 goals kwa games 19 za EP akiwa Liverpool msimu huu.
Who is starting on a bench today kwenye midfield?
Najua Fabinho is a starter today, Henderson as well kwa sababu ya U-Captain (but I wish aanzie benchi), Gini (had a good rest between the week, so unaona kama anaanza.
Keita anaweza kubaki benchi leo, labda kocha ajilipue kumweka Henderson nje.
Ubaguzi wake?
Kwani Kamtumia Message kuwa hamtaki kama alivyofanya Conte kwa Costa?
Au munataka ampange atuulishe kama alivyokuwa akituulisha kipindi tunafunga goli 3 ikisha zinarudishwa zote 3 na tunapigwa la 4?
Kama ubaguzi wenyewe ndiyo huu wa kufungwa goli 7 tu mpaka sasahivi kwenye EPL kwa sababu ya kuwaweka Bench wachezaji kama kina Mourinho na Mignolet, Basi naungana naye Klopp katika ubaguzi ili tuwe sote wabaguzi.
Na tunasubiri GOMEZ na MATIP wapone majeraha tu ili na yule Mwendawazimu Lovren arudie kusugua Bench kama mwanzo wa Msimu.
Na AOC akipona tu basi wenyewe GINI - FABINHO - AOC watakama nafasi zao ili yule Fake Captai akawarm Bench.
Kwasasa hatutaki Magarasa tena kwenye timu yetu.
kuwepo kwa majeruhi katika timu kumepunguza tu idadi ya magoli mliyotakiwa kupigwa leo ila kichapo kipo palepale ushindi wenu ni sare tumkuu Dully naona kesho ukipita humu kimya kama sio kujipiga ban...
kwa sasa mna struggle nadhani majeruhi nayo hayajakuacha salama sana...
kesho kaa na maji baridi mkononi kupoza pressure
you will walk alone today.......6Hours and 53Minutes to go
#YNWA
Leo nadhani itakuwa GINI - FABINHO - HENDO kutokana na KEITA kutokuwa na Consistency.
you will walk alone today.......
wewe ukiwa legend halisi wa europe alafu R.madrid wajiite nani sasa? alafu umesema kesho unaenda tandika,kufanya nini mkuu?ila afe kipa afe beki lazma tuwabikiriKesho tunaenda tandika hawa arsenal kipigo cha mbwa koko! Yani kesho tunaenda kuuwa hawa bata mzinga.
Sisi ni Liverpool
Legend halisi wa Europe.
Tumekuja kuclaim Crown yetu.
Bring back our lost Glory
Hakuna wa kutuzuia.
#YNWA #ALLEZ #ALLEZ
ozil amepata hitilafu katika goti so ataukosa huu mchezo ila bado haijaathiri kichapo nitakachokupaOzil kausoma mchezo mapema kaamua kubaki london, subir nyie viherehere leo tuwaoneshe
leo himaya ya kiungo pale katikati kutatawaliwa na vijana torreira na gue so mjiandae kisaikolojia na hao mafropper wenuKeita anaanza leo, tegemea kikosi alichopangiwa Man U siku ile, ndio kina possibility kubwa ya kuanza
Mdomo mali yako.leo himaya ya kiungo pale katikati kutatawaliwa na vijana torreira na gue so mjiandae kisaikolojia na hao mafropper wenu
kwani mechi ya kwanza hujaiona mkuu?nenda youtube alafu angalia man of the match alikuwa nani,mpira tulitawala kwa zaidi ya asilimia 60 na nyinyi mlikuwa na 30s sasa hapo utasema wewe una kiungo cha kubattle na kiungo cha ARSENAL?wakati fabinho alikuwa anarambishwa nyasi na kina gue na torreira hahahahahahahahahahMdomo mali yako.
Kuna kiungo gani cha kuisumbua Liverpool. Nyie tunawafunga 3/1 leo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mlishinda ngapikwani mechi ya kwanza hujaiona mkuu?nenda youtube alafu angalia man of the match alikuwa nani,mpira tulitawala kwa zaidi ya asilimia 60 na nyinyi mlikuwa na 30s sasa hapo utasema wewe una kiungo cha kubattle na kiungo cha ARSENAL?wakati fabinho alikuwa anarambishwa nyasi na kina gue na torreira hahahahahahahahahah


povu hili nililitegemea kabisaaaaaaaaa