Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hao nishasahau hata wanagombea nini, maana kina Eden Kimario, Mentor naona wamekimbia jukwaa.
Mangi kama mechi hii kaitazama atakua na hali mbaya sana walijua ushukani tunaukamata kwa muda na hii deceba wengine walisema tutamaliza mwaka tukiwa nafasi nne au tano lol kumbe tupo ngangari mpaka mwisho...

mwenye wivu nasi anajitafutia maumivu tu bado hatajauwsha moto ipasavyo....
 
Alisson Becker vs Arsenal:

37 passes (90% accuracy)
1 save
2 clearances
0 errors
0 losses of possession

He even managed to win an aerial duel..


Wakati huo huo

Aubameyang

13 touches
10 passes (6 from kick off)

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Sent using Jamii Forums mobile app

can i get Faby's stats man?
 
Hili goli la pili lilitaka kunivunja mbavu kwa kicheko [emoji23]
IMG-20181229-WA0035.jpeg
 
Guys KLOPP anapaswa kumpumzisha VVD wakati mwingine maana daaaah jamaa kacheza mechi zote 20 za EPL.



Sent using Jamii Forums mobile app

He is our Backbone! Hatuwezi kumpumzisha hata Sekunde mona tukampa timu Lovren aongoze Defence line yetu..

Atapiga games zote za Liverpool zilizobakia kwa Msimu huu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom