Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Goli halikufungwa kwa kosa la Beki yeyote yule Wa Liverpool...

Bali limefungwa kwa Team work ya Arsenal ikisaidiw na Jitihada binafsi y Lacazette.
basi na kesho mtapigwa magoli 3 ya aina hii,hongera kwa kujua kuwa ARSENAL wana teamwork maana tutaitumia kupeleka kilio hapo anfiel na kuwapigisha ban humu jukwaani
 
Kuna Dogo flani hivi anaitwa Zincheko last season alikuwa akigaiwa Beki 3

Sasa kama hawajamtoa kwa loan, pengine atacheza yeye coz Mendy Ni Spana mkononi.
bado yupo Mkuu na hio siku ndio atacheza tho ita depend kama akicheza vyema mechs vs Ston basi Pep atamwamini kumpanga come 3rd....

Fernaditho ndio mhimili wa hii timu yaani th "unsung hero" n too bad hakuba wa kuvaa viatu vyake as of now na hii imewacost na itaedelea kuwa cost...
 
Delph jana kala straight red card, so hatakuwepo hiyo tarehe 3. Kama mendy hatakua bado hajapona sijui atamweka nani. Danilo may be?
sidhani kama Danilo wil play there unless waje na mfumo wa 3 at th back...

nwei tupo tayari waje tu kivyovyote vile...
 
Huyo dogo auzwe tu kabla hajasambaza hiyo cancer aisee.
Stage tuliopo hatuhitaji kabisa mtu atuvurugie dressing room harmony iliyopo!
unajua huyu mureno asilete bangi...th guy was given loads of opportunities since Rodgers na Klopp pia na aligeuka kua stagnant player yaani yupo vile vile, sasa Robby kaja na he is delivering asa yeye analalamika nini...atulie kama vipi wakala wake amtafutie timu...

Robby delivers rarely anakua failure Klopp atakua kichaa kumbench kumfurahisha Mureno...

Achape raba aache maneno, soka sio bla bla ni actions week in week out...
 
basi na kesho mtapigwa magoli 3 ya aina hii,hongera kwa kujua kuwa ARSENAL wana teamwork maana tutaitumia kupeleka kilio hapo anfiel na kuwapigisha ban humu jukwaani
mkuu Dully naona kesho ukipita humu kimya kama sio kujipiga ban...

kwa sasa mna struggle nadhani majeruhi nayo hayajakuacha salama sana...

kesho kaa na maji baridi mkononi kupoza pressure
 
unajua huyu mureno asilete bangi...th guy was given loads of opportunities since Rodgers na Klopp pia na aligeuka kua stagnant player yaani yupo vile vile, sasa Robby kaja na he is delivering asa yeye analalamika nini...atulie kama vipi wakala wake amtafutie timu...

Robby delivers rarely anakua failure Klopp atakua kichaa kumbench kumfurahisha Mureno...

Achape raba aache maneno, soka sio bla bla ni actions week in week out...

Mwenzake Robbo alipewa chance efficiency 100%!
 
Mwenzake Robbo alipewa chance efficiency 100%!
yaani mchezaji akipata bahati kuvaa ule uzi wa Red wa Majogoo aafu pamoja na kupewa nafasi kibao bado analalamika ndio ujue aniashi kwa kuklemu huyo...

hivi leo atokee Karius, Klavan, Migo aseme anastahili namba kikosi cha kwanza ya kudumu itakua ajabu sana maana nafasi walipata wakajisahau inatakiwa kazi kazi....

muone Milner always working hard like he s 22yrs....

hawa mandogo wanaishi kwa mazoea na kwa sasa hatuna nafasi za whinnin players...
 
Kabisa!
 
hahahahaha ile rekodi itakuja kuvunjwa na GUNNERS wenyewe na sio takataka yoyote hapa ENGLAND......wewe jipe moyo tu😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Sawa si rekod ya kuchapwa 8 teh teh hiki kichapo ni cha Karne mzee mtakivunja wenyewe kwa kupigwa 9,10 ,11,12 ....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Courtois alivyomjibu Liverpool fan 😭😭
 
Attachments

  • Screenshot_20181228-232706.png
    Screenshot_20181228-232706.png
    24.3 KB · Views: 27
Kesho tunaenda tandika hawa arsenal kipigo cha mbwa koko! Yani kesho tunaenda kuuwa hawa bata mzinga.

Sisi ni Liverpool
Legend halisi wa Europe.
Tumekuja kuclaim Crown yetu.
Bring back our lost Glory
Hakuna wa kutuzuia.
#YNWA #ALLEZ #ALLEZ
 
Kesho tunaenda tandika hawa arsenal kipigo cha mbwa koko! Yani kesho tunaenda kuuwa hawa bata mzinga.

Sisi ni Liverpool
Legend halisi wa Europe.
Tumekuja kuclaim Crown yetu.
Bring back our lost Glory
Hakuna wa kutuzia.
#YNWA #ALLEZ #ALLEZ

It's coming HOME...
 
04 Apr 2015 Arsenal v LiverpoolL4-1Premier League
24 Aug 2015 Arsenal v LiverpoolD0-0Premier League
13 Jan 2016 Liverpool v ArsenalD3-3Premier League
14 Aug 2016 Arsenal v LiverpoolW3-4Premier League
04 Mar 2017 Liverpool v ArsenalW3-1Premier League
27 Aug 2017 Liverpool v ArsenalW4-0Premier League
22 Dec 2017 Arsenal v LiverpoolD3-3Premier League
03 Nov 2018 Arsenal v LiverpoolD1-1Premier League

hii inaitwa ukiwa muongo uwe na kumbukumbu

Bosi hata kuhesabu misimu ni shida?

Umeambiwa misimu mitatu iliyopita:-
1. Aug 2015 - May 2016
2. Aug 2016 - May 2017
3. Aug 2017 - May 2018

Hiyo ndiyo misimu mitatu iliyopita, ila naona umeamua kutanua goli ukaingiza na wa NNE.

Pole sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom