Kipa huwezi mjudge kwa clean sheet pekee maana sometimes unakuta uzuri wa mabeki ndio unasaidia clean sheet za kipa.... Kipa mzuri mpime kwa Save per goal ratio yaani kwa kila shuti linalolenga goli mangapi kaokoa na mangapi kafungwa.... Angalia reflexes na reactions....anticipations.... Positioning.... Hapo ndio utajua kipa gani bora ila kusema tu clean sheet ni sababu ya Alison unakosea maana ukiangalia zaidi utagundua defence ya Liverpool inaweza pia kuwa imechangia kuleta clean sheet na sio becker as becker
Kwa maoni yangu duniani hakuna kipa kama Oblak ndio kipa mwenye clean sheets nyingi zaidi ambazo sio sababu ya defence ya atletico bali Oblak ana save per goal ratio kubwa zaidi kuliko kipa yeyote yule duniani yaani kwa kila mashuti 6 on target anafungwa moja tu na save percentage yake ni 85% (ya juu zaidi ulaya) ndio maana thamani yake sokoni ni zaidi ya €100 Million ambayo imemzidi Allison kwa mbali sana kwa ufupi Oblak katika mechi 100 za kwanza za Atletico alikuwa kacheza mechi 60 bila kufungwa.... Huyo Alisson anaweza hilo??
Hakuna kama Oblak
View attachment 979230