Kwaiyo akae kimya wakati anaona kocha anafanya vitu vya kikumbavu kabisa.
Unamwachaje nje mtu kama Moreno halafu una mwakikishia namba mchezaji kama Robertson?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ww ndio mwepes wa kusahau, auba hakutolewa kwa kumshindwa huyo dogo, mmesahau maneno yenu hiyo game huyo dogo alizingua? Auba alitolewa kwa ajir ya tactic za mwalimu,Kwani Katika Mechi ya Mwanzo hapo Emirates beki 2 si alikuwa huyohuyo TAA na Winger alikuwa Aubamyang sasa Mulifunga goli ngapi kupitia upande wake?
Mbona Ni wepesi Wa kusahau nyinyi?
Yeye si ndiye aliyemkaba Auba mpaka Mpira ukamshinda akatolewa bila ya goli la Hata offside?
Subir tuone ,Kwanza kwa misimu 3 iliyopita Arsenal tulishazoea kumgonga NNE NNE tu, kwahiyo kesho tunarejea kawaida yetu ya Kumgegeda Vinne.
huu mwaka utakuwa mchungu sana kwenu maana kitakachokupata kesho unafunga mwaka vibaya na kitakachokupata tar 3 utafungua mwaka vibaya maana hao city kama chui aliyejeruhiwa
huu mwaka utakuwa mchungu sana kwenu maana kitakachokupata kesho unafunga mwaka vibaya na kitakachokupata tar 3 utafungua mwaka vibaya maana hao city kama chui aliyejeruhiwa
Ww ndio mwepes wa kusahau, auba hakutolewa kwa kumshindwa huyo dogo, mmesahau maneno yenu hiyo game huyo dogo alizingua? Auba alitolewa kwa ajir ya tactic za mwalimu,
Subir kesho utamkataa hapa hapa
Maana sis arsenal hatuna upande mwingine wa kutengeneza magoli zaid ya huo
Sent using Jamii Forums mobile app
duuuuuuuuuuuuuuuuhhhhhh ila sawa nimekuelewa nini unamaanisha,maana nilivyosoma mwanzo nikajua mchecheto wa kichapo cha kesho.....ila sio vizuri kuongea kinyumenyume kama king wa rivasiNi kweli Makocha sometime wanazingua aisee! Kwamfano kama Sarri atamuachaje Fabregas nje halafu amchezeshe mtu kama Kante? Huu kweli ni ujinga anaofanya Sarri.
sio kujifariji ila naomba kesho asikimbie mtu humu.............Napenda jinsi unavyojifariji...
Sikweli , TAA alizingua , mbona nakuonaga mkweli kwann ushindwe kukiri hili,Hizo tactics za Mwalimu zilikuja baada ya Kuona tactics za Kumtumia Zimeshindikana kwa kushindwa Kufurukuta kwa TAA.
Game ile haikuwa na Rotation wala Hakupata injury.
Kwahiyo hawezi kutolewa ila game ilimshinda.
TAA ni kiboko Wa Auba 😀😀
Sikweli , TAA alizingua , mbona nakuonaga mkweli kwann ushindwe kukiri hili,
Na siku zote ndio tunapitiaga
Sent using Jamii Forums mobile app
kwahiyo wewe ndio unajua sana kuliko mwalimu?au unatumia tunguli kujua yote hayo mkuu...........acha kuweweseka kipigo chaja AUBA sio level ya hako katrent aseeeeeeh usimuoverrate kijana maana kina IWOBI tu wanamsumbuaHizo tactics za Mwalimu zilikuja baada ya Kuona tactics za Kumtumia Zimeshindikana kwa kushindwa Kufurukuta kwa TAA.
Game ile haikuwa na Rotation wala Hakupata injury.
Kwahiyo hawezi kutolewa ila game ilimshinda.
TAA ni kiboko Wa Auba 😀😀
hahahahaha ile rekodi itakuja kuvunjwa na GUNNERS wenyewe na sio takataka yoyote hapa ENGLAND......wewe jipe moyo tu😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Kesho Former Invincible analiwa na New Invincible teh teh teh teh 😀😀
sasa aliyezingua nani mpaka goli likafungwa?acha kumfananisha AUBA na mambo ya kijinga kama trentSasa kazingua nini? Kavujisha goli au?
Si Auba alikuwa Winga! Mbona hakumruhusu kufunga kama kazingua?
Labda nipe Definition ya Neno "Kazingua" ili tuende sawa.
hahahahaha ile rekodi itakuja kuvunjwa na GUNNERS wenyewe na sio takataka yoyote hapa ENGLAND......wewe jipe moyo tu😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
s
sasa aliyezingua nani mpaka goli likafungwa?acha kumfananisha AUBA na mambo ya kijinga kama trent
Well,good things come from watching and waiting!!Hakuna wakutufunga hapo.
Tena mwanzon tulikuwa tunakosea kwenye mido ya Gini, Milner Hendo.
Ila baada ya kuongezwa Fabby, Keita plus Shaqir, sahivi ni ushindi tu.
isimu mingapi wanasema hivyohivyo hawa tumeshawazoea tundu likitobolewa tu kina fulham watajipigia hatareeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee......sasa hivi wanacheza kwa nguvu zote si unajua wana nguvu ya kutopoteza mchezo ila tukishawatatua kesho tutawachanganya sana na wataona hawana cha kupoteza maana kama tundu lishatobolewa watajipigia sana kina evertonLiver mwaka huu isipochukua ubingwa ndio basi tena