Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
Ok, kama ni huyo atakuwepo coz jana nimeona jina hilo kwenye sub za man city
Kuna Dogo flani hivi anaitwa Zincheko last season alikuwa akigaiwa Beki 3
Sasa kama hawajamtoa kwa loan, pengine atacheza yeye coz Mendy Ni Spana mkononi.
ESPN wanaripoti kwamba huyo dogo 'Oleksandr Zinchenko' anaweza akacheza LB kwa game 3 zijazo.
Pia Fernandinho amerudi, game ya Southampton atacheza.
Wamelazimisha Fenandinho arudi faster...ha ha ha ha ha ha ha
Na unaweza kukuta hata hajapona vizuri.
Moreno hakupaswa Kusema Maneno Haya!
Naona anataka kufuata Nyao za Sakho badala ya kuondoka LFC kama Legend.
"I disliked Klopp's decision because I was training but when I returned he only wanted Robertson.
"My relationship with Klopp hasn't changed but since this injury, I didn't have a meeting with him but our relationship is normal.
"I disliked the way that Klopp has treated me but I understand his situation that he can't change [Robertson] because the team is winning."
Halafu moreno ni mshkaji wake sana Coutinho...so kuna vitu lazima wanashare...Akubali tu kuwa back up....hata mtu asiyejua "soccer managenent" hawezi kumweka nje Robbertson kwa ajili ya moreno..Na hili halimaanishi yeye ni mbovu....ila tu Robbo ni mzuri sana zaidi yake.Hata kiraka Milner akicheza no.3 anakuwa amemzidi moreno....So hata akiuzwa ni sawa tu ili atafute timu anayoweza kuanza
Naona wapenzi was asenane wamekua kinya sana ghafla
Nadhani wanatafakari game ya Saturday
Naona wapenzi was asenane wamekua kinya sana ghafla
Nadhani wanatafakari game ya Saturday
Southampton na Brighton wamesaidia sana kukata mawasiliano, hata kwenye thread yao wamejificha.
Halafu moreno ni mshkaji wake sana Coutinho...so kuna vitu lazima wanashare...Akubali tu kuwa back up....hata mtu asiyejua "soccer managenent" hawezi kumweka nje Robbertson kwa ajili ya moreno..Na hili halimaanishi yeye ni mbovu....ila tu Robbo ni mzuri sana zaidi yake.Hata kiraka Milner akicheza no.3 anakuwa amemzidi moreno....So hata akiuzwa ni sawa tu ili atafute timu anayoweza kuanza
Kipa huwezi mjudge kwa clean sheet pekee maana sometimes unakuta uzuri wa mabeki ndio unasaidia clean sheet za kipa.... Kipa mzuri mpime kwa Save per goal ratio yaani kwa kila shuti linalolenga goli mangapi kaokoa na mangapi kafungwa.... Angalia reflexes na reactions....anticipations.... Positioning.... Hapo ndio utajua kipa gani bora ila kusema tu clean sheet ni sababu ya Alison unakosea maana ukiangalia zaidi utagundua defence ya Liverpool inaweza pia kuwa imechangia kuleta clean sheet na sio becker as becker
Aisee oblak ni kama de gea wa pili jamaa ana STUNNING saves yani mpaka unashangaaKipa huwezi mjudge kwa clean sheet pekee maana sometimes unakuta uzuri wa mabeki ndio unasaidia clean sheet za kipa.... Kipa mzuri mpime kwa Save per goal ratio yaani kwa kila shuti linalolenga goli mangapi kaokoa na mangapi kafungwa.... Angalia reflexes na reactions....anticipations.... Positioning.... Hapo ndio utajua kipa gani bora ila kusema tu clean sheet ni sababu ya Alison unakosea maana ukiangalia zaidi utagundua defence ya Liverpool inaweza pia kuwa imechangia kuleta clean sheet na sio becker as becker
Kwa maoni yangu duniani hakuna kipa kama Oblak ndio kipa mwenye clean sheets nyingi zaidi ambazo sio sababu ya defence ya atletico bali Oblak ana save per goal ratio ndogo zaidi kuliko kipa yeyote yule na ndio maana release clause yake kwenye mkatana mpya inakkua €100 Million ambayo imemzidi Allison kwa mbali sana kwa ufupi Oblak katika mechi 100 za kwanza za Atletico alikuwa kacheza mechi 60 bila kufungwa.... Huyo Alisson anaweza hilo??
Hakuna kama Oblak View attachment 979230
Naona Atletico imejitahidi sana kukuza makipa wazuri kuanzia Courtois,De gea na Sasa OblakAisee oblak ni kama de gea wa pili jamaa ana STUNNING saves yani mpaka unashangaa
Sent using Jamii Forums mobile app