Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kesho kama kawaida tunapitia upande wa trent

Kola na auba au kola na iwobi watamgawana trent. Ili mmoja apite na kupiga V PASS kwaajir ya kumaliza shughuli

Mazoez yanayoendelea sasa hiv ni hayo , laca atakuwepo kusumbua bek zenu

Katikat atakuwepo muhun xhaka na toreira

Nadhan kesho tutawapoteza tena kwenye midfield

Njia yenu ya ushind ni moja tu, mpitie no 2 ndio kwenye shida kwa upande wa arsenal ,na huo upande anacheza mane

Iwapo mtashindwa huko

Naahid 3-0 mtapigwa hapo hapo Anfiled

Asanten

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchambuzi mzuri sana
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Wee jamaa una roho ngumu sana

Still unaamini Arsenal hii itamfunga Liverpool hii ?
 
Oh my Fucking birthday!! 😀

Lovren ahead of VVD ? 😀
Mina ahead of Robertson ? 😀
Ryan ahead of Alisson? 😀

Even Mwinyi Zahera wouldn't do it 😀

Tomorrow we'll see Alex Iwobi ahead of Mo Salah! Trust me 😀

But honestly nadhani Lovren alicheza vizuri juzi kuliko hata VVD
 
Kesho kama kawaida tunapitia upande wa trent

Kola na auba au kola na iwobi watamgawana trent. Ili mmoja apite na kupiga V PASS kwaajir ya kumaliza shughuli

Mazoez yanayoendelea sasa hiv ni hayo , laca atakuwepo kusumbua bek zenu

Katikat atakuwepo muhun xhaka na toreira

Nadhan kesho tutawapoteza tena kwenye midfield

Njia yenu ya ushind ni moja tu, mpitie no 2 ndio kwenye shida kwa upande wa arsenal ,na huo upande anacheza mane

Iwapo mtashindwa huko

Naahid 3-0 mtapigwa hapo hapo Anfiled

Asanten

Sent using Jamii Forums mobile app

😀 😀

Najua unajikakamua ili tusije sema kuwa umejipiga Ban kama Rant boys Wa Chelshit tu .... 😀

Lakini ukweli Ni kwamba moyoni umejaa Hofu.. 😀

Tusalimie yule kituko mwenzio DullyJr 😀

Hivi Mara ya Mwisho Arsenal kumfunga Liverpool Anfield ulikuwa Mwaka gani ? 😀

Ukijibu namtag Ollachuga Oc 😀
 
Ulitaka Kipa acheze bila beki? Hata Alison anazuia mashambuliz mengi hatari! Ungekuwa unafatilia mechi kuanzia ile ya Napoli had juz newcastle jamaa kaokoa mipira ya hatar sana ambayo kiuhalsia angekuwa kipa mwingine ni goli.

Kuhusu kuchukuliwa kwa €75 M unadhan thaman yake itakuwa haijapanda bado? Ni kama Salah aliyenunuliwa kwa €30M lakin kwa sasa bila €150 M humgusi.

Ni kumvunjia heshima oblak kumfananisha na allison. Allison hata kwa
Marc-André ter Stegen hagusi.
 
But honestly nadhani Lovren alicheza vizuri juzi kuliko hata VVD

It will never happen in this Earth! This Accident waiting to happen aperform zaidi ya VVD? No! Never! Kipindi VVD anacheza na maumivu ya Mbavu basi alikuwa bora kuliko Lovren aliye mzima.
 
IMG_4815.JPG

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kesho kama kawaida tunapitia upande wa trent

Kola na auba au kola na iwobi watamgawana trent. Ili mmoja apite na kupiga V PASS kwaajir ya kumaliza shughuli

Mazoez yanayoendelea sasa hiv ni hayo , laca atakuwepo kusumbua bek zenu

Katikat atakuwepo muhun xhaka na toreira

Nadhan kesho tutawapoteza tena kwenye midfield

Njia yenu ya ushind ni moja tu, mpitie no 2 ndio kwenye shida kwa upande wa arsenal ,na huo upande anacheza mane

Iwapo mtashindwa huko

Naahid 3-0 mtapigwa hapo hapo Anfiled

Asanten

Sent using Jamii Forums mobile app
Haha

Kesho usije dhan yatafanywa yale makosa ya kumchezesha fab namba 8 badala ya namba6

Subir utakipata kesho huyo TORORI wako usije ukamtegemea kesho mzee

Et upande wa ANOD ule upande kesho utashangaa anaekwa hata MILNER ndipo hauta amin mzee

Kitulize utakipataa unachokitaka
Ww mwenyewe unajua kua kesho hamtoki

Asante mwalimu kashasha

Shauri yako ,mchezeshe huyo bakayoko part 2 namba 6

But kesho kiungo lazima tutawale ,na lazima tupitie kwa trent

Hata klopp anajua kuwa tunapitiaga wapi,

Yule dogo tunamgawa na watu wawili,
Screenshot_2018-12-28-16-54-02.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😀 😀

Najua unajikakamua ili tusije sema kuwa umejipiga Ban kama Rant boys Wa Chelshit tu .... 😀

Lakini ukweli Ni kwamba moyoni umejaa Hofu.. 😀

Tusalimie yule kituko mwenzio DullyJr 😀

Hivi Mara ya Mwisho Arsenal kumfunga Liverpool Anfield ulikuwa Mwaka gani ? 😀

Ukijibu namtag Ollachuga Oc 😀
Siwez kujipiga ban mm sio @Ollachuga

Mimi nimeongea tactic zilivyo kwa mech ya kesho, kama manaleta mahaba leten tu

Ukweli ni huo kesho ni mwendo wa counter upande wenu wa namba 2

Na nyinyi lazima mfos kupitia namba 2

Kesho msijiamini yatakayowatokea hamtaamini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha

Kesho usije dhan yatafanywa yale makosa ya kumchezesha fab namba 8 badala ya namba6

Subir utakipata kesho huyo TORORI wako usije ukamtegemea kesho mzee

Et upande wa ANOD ule upande kesho utashangaa anaekwa hata MILNER ndipo hauta amin mzee

Kitulize utakipataa unachokitaka
Ww mwenyewe unajua kua kesho hamtoki

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan wewe huwa ni mshabiki oya oya ....

Huyo milner ni mzee huwez kumchezesha namba 2 kwa counter na pace za arsenal

Kwanza kesho hayupo

Inaonesha hata liver huifatilii, umeibuka kipind hiki ikiwa inashinda ,ndio mnatuletea tabu humu

Kesho piga ua tunapitia kwa dogo trent

Piga ua lazima kiungo tuwashike kisawasawa

Matokeo natoa 50/50

Iwapo mtashindwa kutumia vzr pengo.la namba 2 arsenal ,bas nawakunyuga 3+
Screenshot_2018-12-28-17-14-20.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaan wewe huwa ni mshabiki oya oya ....

Huyo milner ni mzee huwez kumchezesha namba 2 kwa counter na pace za arsenal

Kwanza kesho hayupo

Inaonesha hata liver huifatilii, umeibuka kipind hiki ikiwa inashinda ,ndio mnatuletea tabu humu

Kesho piga ua tunapitia kwa dogo trent

Piga ua lazima kiungo tuwashike kisawasawa

Matokeo natoa 50/50

Iwapo mtashindwa kutumia vzr pengo.la namba 2 arsenal ,bas nawakunyuga 3+View attachment 979679

Sent using Jamii Forums mobile app
Haha

Et utupige 3+

Hiyo ni ndoto

Endelea kuota

Usha anza kubaha et 50/50

Ww huyo TORORI wako hutomsikia kesho nakuapia

Usikariri TAA pekee mzee hatuna kikosi cha mawazo kama chenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaan wewe huwa ni mshabiki oya oya ....

Huyo milner ni mzee huwez kumchezesha namba 2 kwa counter na pace za arsenal

Kwanza kesho hayupo

Inaonesha hata liver huifatilii, umeibuka kipind hiki ikiwa inashinda ,ndio mnatuletea tabu humu

Kesho piga ua tunapitia kwa dogo trent

Piga ua lazima kiungo tuwashike kisawasawa

Matokeo natoa 50/50

Iwapo mtashindwa kutumia vzr pengo.la namba 2 arsenal ,bas nawakunyuga 3+View attachment 979679

Sent using Jamii Forums mobile app
ARSENAL mpo kwenye ndoa bado na SOTON

Brighton nayeye akataka kuwa weka ndani mkaponea bahat

Europa inawaita tenaaaaaa hamna ujanja nakuapia huyo man u anakuja kukutoa hapo tena hata europa ukikaa hovyo huchezii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom