It was a great win, sijafanikiwa kuona 1st half ila second half nimeiona yote Henderson played really well. Hiyo position ndo nilimuwa naililia acheze siyo kuchezeshwa kama defensive midfielder .
Allison is more than just a goalie, he defended like a center back then he save it like a goalie kupata clean sheet
Fabinho in the midfield is like a jukebox
Klopp kafanya substitution za maana, sikutegemea kama kwenye hii mechi klopp angeanza na fab3 kwa line up it claerly indicate he is really up to something
Andy Robertson, he's unsung hero. He's only at LFC with good performance week in and week out. Kuna ile mechi Gomez ali-clear mpira kwenye line siku hiyo Van Djik was not good.
Van Djik ni Terry,Rio na Vidic kwa pamoja kwa maneno ya Jamie Redknapp ila naongeza na Lucio kwa jinsi anavyopanda na mpira mbele
I can smell IT, not far away