na kweli ametushangaza hongera sana mwenye dini ya kupiga ramliLeo matokeo yatakuwa hivi
Liverpool 1- Nu Casto 2 or
Liverpool 2- Nu Casto 3 or
Liverpool 2- Nu Casto 2
Either Nu Casto or Draw.
Nu Casto leo atawashangaza.!
To be Honest Mwezi wa Mei Nategemea Kufunga Ndoa Zanzibar! Yani itakuwa ni zaidi ya Ndoa tutabeba ubingwa katika mwezi huo
nyie wageni mbona hamna aibu!yani mnakaribishwa halafu mnataka kugombana ugenini?Arsenal anaenda anfield labda ashinde njaa kwa majeruhi aliyonayo kwenye defence kwa sasa
goal difference tupo at par na Man City mkuu...Ile goal deferent tumeipunguza kwa kasi ya ajabu. Inaweza ikawa tofauti ni 1 kwa sasa.
hivi tumetokaje?au ni sare kama ulivyoambiwa na jini wakoYani hawa leo hawatoki.
Wakitoka ni sare..
Hahahahivi tumetokaje?au ni sare kama ulivyoambiwa na jini wako
"Mzunguko wa kwanza ligi"NKUMBUSHIA TU:
"Tumemaliza Mzunguko Wa Kwanza Wote Bila Ya Kufungwa"
mkuu ulijuaje?Hawa at least tuwapate 4 kwa 0
To be Honest Mwezi wa Mei Nategemea Kufunga Ndoa Zanzibar! Yani itakuwa ni zaidi ya Ndoa tutabeba ubingwa katika mwezi huo
Habari yako mkuuBaada ya kipigo kikali kutoka kwa Nu casto.