Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwasasa Kocha Ambaye atamvua Armband Henderson Ni yule anaetoka Milembe kama Mourinho au Makocha Wa Tanzania.

Lakini Kocha Aliye na Akili Kama Klopp hawezi kufanya kitendo hicho cha Kiajabu.

Dressing room ndiyo kila kitu hasa katika kipindi hichi tulichopo.
well said i think Klopp is good at handling this boys one on one...

hata ukiangalia Captain no 3 (VvD) na Captain no 4 (Gini) hakuchagua yeye mbali aliwaacha wachezaji wapige kura na kuwachagua wenyewe....
 
posted this back in 2014

tangu aondoke kwenye academy ya LFC amekuwa na career nzuri kabisa

he was immense yesterday, always knew he was a good defender

i'd take him back at LFC, he's better than Lovren

him or Lloyd Kelly in the summer
by th way this young lad Coady has matured to th very needs of what needed to perfom at top level...

Who knows he may still have a career wt us in th future if he continue being this steel...so good compared wt Lovren, Matip
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom