Gwamahala Jr
JF-Expert Member
- Aug 26, 2018
- 464
- 780
Msimu huu ili timu iwe bingwa italazimika kukusanya 100+ points..
Chini ya 100 sidhani kama timu inaweza kuwa bingwa kwani sishangai kuwa mshindi Wa pili akafikisha 100 points.
Klopp said 105 points in one of his interview, meaning as from now tusipoteze game kabisa!