Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

kuhusu armband, nadhani Klopp anai manage hii situation wisely ili ku consolidate harmony iliyopo sasa dressing room.

juzi hapa amewa sound out VVD na Alisson kama captain material, lakini amesisitiza leadership qualities za Hendo & Millie kama ndiyo msingi wa existing squad harmony.

Kwasasa Kocha Ambaye atamvua Armband Henderson Ni yule anaetoka Milembe kama Mourinho au Makocha Wa Tanzania.

Lakini Kocha Aliye na Akili Kama Klopp hawezi kufanya kitendo hicho cha Kiajabu.

Dressing room ndiyo kila kitu hasa katika kipindi hichi tulichopo.
 
kuhusu armband, nadhani Klopp anai manage hii situation wisely ili ku consolidate harmony iliyopo sasa dressing room.

juzi hapa amewa sound out VVD na Alisson kama captain material, lakini amesisitiza leadership qualities za Hendo & Millie kama ndiyo msingi wa existing squad harmony.

Ni kweli mkuu, Klopp kafanya handling nzuri sana coz harmony is everything kwenye kushinda makombe. Let this spirit of togetherness continue.
YNWA...!
 
English medias hyping Ole gunner solskjaer left, right and centre

only for him to get schooled by the mighty Warnock later today
 
kwahiyo ipi ni tofauti ya attacking force yako kwa msimu uliopita na msimu huu?maana naona wachezaji ni walewale sanasana wameongezeka ..........
Uefa lile kombe lilikuwa letu karius ndo aliamua kuwazawadia Madrid!!
 
... kama kweli angekuwa hamuhitaji kuwa captain au kwenye squad altogether, hii ilikuwa the best opportunity kwa Klopp kummwaga kijumla - i.e kutompanga ili awe frustrated na achape lapa mwenyewe!

logically speaking that's.

Hendo hawezi chapa lapa, anataka awe legend pale Liverpool! Yupo radhi asugue bench lakini siyo kuchapa lapa.
 
Solskjaer, Rio Ferdnand, Roy keane - boyhood LFC fans

Joe Allen, Henderson - boyhood Manchester united fans

imagine if we had to swap these players lol
 
Jamaa anachosema ni sahihi, sema timu inapokuwa inashinda huwa tuna kawaida ya watu kutoangalia weaknesses, lakini ni kitu muhimu sana.

Sema kwa hali ya injuries za kina Gomez, TAA na Matip, defense imekuwa siyo ya kuiamini sana.

Hata mwishoni kuna Robertson alijikuta mpira unamgonga forward akachukua, sema jamaa naye mawenge akapiga nje huko.
Huo ndio mpira wa miguu. It is a battle. Pressure ya game ilikuwa juu. Wolves sio mchezo.
Kuwafunga clean sheet ni sifa kwa vijana na team nzima.
Temple ilikuwa juu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom