Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,299
- 15,026
City 1 palace 3
😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛Uefa lile kombe lilikuwa letu karius ndo aliamua kuwazawadia Madrid!!
Hodge tactical masterclass show at Etihad
Its really is our take-over season
we've arrived
Tears in my eyes
adui tayari kapatwa na kipindupindu Etihad.... sijui kama atapona!adui mwombee njaa (au kipindupindu kabisa.....hahahaa!)
City wakijitahidi wanatoa draw
adui tayari kapatwa na kipindupindu Etihad.... sijui kama atapona!
Hodge tactical masterclass show at Etihad
Its really is our take-over season
we've arrived
Tears in my eyes
Wamanchester hatuwataki, akacheze hukohukoahahahaaa uyu zaha nataman aje liver
Hoping for hogde's masterclass man
Hakuna wakukimbia huu uzi,Huu Uzi utakimbiza watu wengi sana 😀😀😀
Unaona kinachotokea leo EPL city anakufa ,huku chlelsea na yy anakufa ,Siku tutakayomuacha Man City Kwa Points 7 clear basi natangaza ubingwa Hata kama Ni December
Kwan the GONO mnabeba taji gani???Hakuna wakukimbia huu uzi,
Liver hakuna anayempa wasi wasi, tunajua hamuwezi kubeba taji lolote msimu huu,
Hao wanaokimbia ni chelsea ,