Lukub
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 3,790
- 4,284
Kwa Mara ya kwanza nakili na nimeona champions characteristics kwenu ,just see salah anapiga kwa majaribio linakuwa goli, team pinzani inawalaza mabeki chini piga ni kupige hakuna goli linapatikana,hongereni composure ,stability ,unshakable mnadeserve