ipogolo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2011
- 6,280
- 5,987
Hiyo tunaita"intercept" kuingilia njia na mapito yenu.Ya Faby haikua back pass na kama upo makini wale jamaa wamenasa pass ngingi tu nazani jambo walio lifanyia kazi kuwaotea pass njiani
Hata Firmino, walichukua pasi zake nyingi tu.