Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hakuna wakukimbia huu uzi,

Liver hakuna anayempa wasi wasi, tunajua hamuwezi kubeba taji lolote msimu huu,

Hao wanaokimbia ni chelsea ,

Mimi ingewezekana niko tayari aa kuhonga marefa ili muwe juu ya Chelsea coz ni ujinga Rant boys Wa Chelshit wakiingia Top Four.

Lakini na nyinyi munazingua munalingana points kwa Mara ya pili baadae munarudi nyuma

Mpelekeni Chelsea Futuhi msimu ujao
 
Mimi ingewezekana niko tayari at a kuhonga marefa ili muwe juu ya Chelsea coz ni ujinga Rant boys Wa Chelshit wakiingia Top Four.

Lakini na nyinyi munazingua munalingana points kwa Mara ya pili baadae munarudi nyuma

Mpelekeni Chelsea Futuhi msimu ujao
Tuna majeruhi backline yote ,ndio sababu, lasivyo chelsea alikuwa chin yangu leo

Nina kikos kidogo,
 
Kwan nyie mmeshabeba taji lolote?

Liverpool mna vituko


Mm nakuita liverpool , ww niite the gono, sijui ndio nn
unaikuta wapi mkuu nao wamesimama wanakusubiri uwakute...maana kikosi chako kwa sasa mabeki ni full majeraha...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom