Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

"Both teams can attack and score goals, but whoever defends best will win the game”

So, the game will be fecided by defence.

You wanna argue?
 
Naomba unielekeze hiyo ignore button, huwa ni msomaji bila kuandika ktk jukwaa hili.Ila kwa kutokujua soka na ushabiki maandazi usio na tija kwa huyo bwana mdogo naandika kwa mara ya kwanza ili nijue namna ya kumkwepa
Anatujazia page badala ya kwenda kujaza kule kwenye jukwaa lake la timu anayoishabikia

Click jina lake, utaona options kama Follow, Ignore, Conversation, Find.

Bonyeza hiyo Ignore, basi.
 
Maranyingi watu wanapocomplain kuhusu finishing ya Mane I'm pretend to be a Neutral Coz Sikumbuki Kuwa Kuna Season ambayo Mane alikuwa ni good Finisher.

In all past Season Sadio Mane hakuwahi Kufika goli 15 per season, hii inaonesha Mane sio good Finisher tokea zamani.

So, siwezi kwasasa kumlaumimu Manekatika kumalizia mipira kwasababu tokea zamani ndiyo ucheazaji wake wa kupoteza nafasi.
Na kinacho mkumwasha nae ni panic tu anatamaa ya kufunga mpaka anakosa hayupo free kama Boby anatamaa ya kua kila kitu ndo tatizo.
 
Kama unatumia Computer basi right click hilo jina lake au kama unatumia Smartphone touch hilo jina lake itakuja profile yake na neno IGNORE kama unavyoona kwenye hiyo Screenshot then utatouch au kuclick hiyo ignore.

Screenshot_20181216-134713.png
 
Maranyingi watu wanapocomplain kuhusu finishing ya Mane I'm pretend to be a Neutral Coz Sikumbuki Kuwa Kuna Season ambayo Mane alikuwa ni good Finisher.

In all past Season Sadio Mane hakuwahi Kufika goli 15 per season, hii inaonesha Mane sio good Finisher tokea zamani.

So, siwezi kwasasa kumlaumimu Manekatika kumalizia mipira kwasababu tokea zamani ndiyo ucheazaji wake wa kupoteza nafasi.
Mkuu umenikumbusha hii ishu yake yakukosa killer chances ni on going kabisa wala sio ishu jipya...

siku akiamka na kutulia apatapo hizo nafasi atapata 25+ goals per season
 
Please Klopp we need this 4 - 2 - 3 - 1

ALISSON

MILNER - LOVREN - VVD - ROBERTSON

GINI - FABI

BOBBY - KEITA - MANE

MO SALAH
 
I know it is too early but still I've a hope! Well done Soton! Do your job for us
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom