Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
At least Echo wanaanza kufumbua macho.
Fabinho's growing importance to Liverpool & why he's now undroppable
Fabinho's growing importance to Liverpool & why he's now undroppable
Mku hili halipingiki tena waingereza wenyewe washaona kua FAB3 ni bora sana ktk pitchAt least Echo wanaanza kufumbua macho.
Fabinho's growing importance to Liverpool & why he's now undroppable
Lovren yuko vzr tu labda ni hofu yako tu juu yake. Mm nakuhakikishia Lovren ni beki wa maana sanaHapo mchecheto ni Lovren pekee tu! Lakini mbele ya Lovren akikaa Gini na kuliani kwake akiwepo Milner, kidogo itapunguza risk za huyu jamaa.
huo ni ushamba mkuu,kama ungekuwa upo vizuri usingeweza kuandika hili povu........huku ni kutokujiamini ndio kunawasumbua hili ni jukwaa huru hakuna mtu mwenye mipaka ya kuingia hapa hata guests wanaingia na kusoma yanayoendelea humu sembuse sisi members!!!!!halafu hii kauli ya kutaka watu wasije hapa imewajaa sana na mimi ndo nawakomoa nikitaka kupost napost anytime cause nina haki hiyowenye hasira wote kutwa kucha wapo kwenye majukwaa ya watu
Lovren yuko vzr tu labda ni hofu yako tu juu yake. Mm nakuhakikishia Lovren ni beki wa maana sana
Hata kama ni kuichukia Liverpool wewe umepitiliza Mkuu dah too much too much unakera sana sanahuo ni ushamba mkuu,kama ungekuwa upo vizuri usingeweza kuandika hili povu........huku ni kutokujiamini ndio kunawasumbua hili ni jukwaa huru hakuna mtu mwenye mipaka ya kuingia hapa hata guests wanaingia na kusoma yanayoendelea humu sembuse sisi members!!!!!halafu hii kauli ya kutaka watu wasije hapa imewajaa sana na mimi ndo nawakomoa nikitaka kupost napost anytime cause nina haki hiyo
ukitaka kuweka mipaka watu tusiingie hapa waambie mods wapelekeke hiki kithread chenu JLW maana kule wengine hawana access ya kuingia
hili ndio tatizo letu sana wabongo kuwa hawaangalii fact mara zote wanaangalia kutetea upande waliopo hata kama ni upumbavu...........mimi siichukii liverpool kama unavyofikiria wewe hili ni soka na soka ni ushindani muda wote adui unamwombea njaa ili wewe ukae pazuri hapo uilipo ulitamani jana man city apoteze ili wewe hata leo ukisuluhu au ukifungwa isikuathiri katika nafasi uliyopo.......hata wewe ungekuwa katika nafasi za chini huko leo ningeombea ushinde ili umpunguze kasi man utd mpira ndivyo unavyoenda mkuu......msiwe vipofuHata kama ni kuichukia Liverpool wewe umepitiliza Mkuu dah too much too much unakera sana sana
Hata kama ni kuichukia Liverpool wewe umepitiliza Mkuu dah too much too much unakera sana sana
hiyo ni njia nzuri sana ili asije akapasua kifaa chake kwa hasira ingawa hiyo ni sawasawa na unajamba huku umevaa earphones ukafikiri watu hawatosikia kwakuwa wewe husikii hahahahahahahahahahahahahahahahahaThe best you can do ni kuclick ignore button, hutaona alichoandika.
yaani jukwaa lenu wenyewe halafu unalikimbia hapo ndio mpo katika nafasi nzuri katika msimamo naamini mkikaa katika nafasi zenu halisi wote mtakimbia humu mana unaignore watu mpaka utajiignore mwenyeweThe best you can do ni kuclick ignore button, hutaona alichoandika.
Uwezo wako wa kuelewa mdogo mno, wapi nimezua watu kuja humu kuposti chochote? Nimesema wenye hasira kutwa kucha wapo kwenye majukwaa ya watu, hiyo mimba changa inaonekana bado inakusumbua bint, ukuzubaa majogoo wataikuza shauri yakohuo ni ushamba mkuu,kama ungekuwa upo vizuri usingeweza kuandika hili povu........huku ni kutokujiamini ndio kunawasumbua hili ni jukwaa huru hakuna mtu mwenye mipaka ya kuingia hapa hata guests wanaingia na kusoma yanayoendelea humu sembuse sisi members!!!!!halafu hii kauli ya kutaka watu wasije hapa imewajaa sana na mimi ndo nawakomoa nikitaka kupost napost anytime cause nina haki hiyo
ukitaka kuweka mipaka watu tusiingie hapa waambie mods wapelekeke hiki kithread chenu JLW maana kule wengine hawana access ya kuingia
wewe inaonesha ndio hujielewi kabisa na wala hujitambui sasa kwa hiyo statement yako hapo ulikuwa una maanisha nini kama wewe kweli uko vizuri kiakili na kifikra pia.....mimi nipo normal kabisa na ndio tatizo la kubisha na mtu usiyemuona maana mwenzako yupo normal ila wewe unajipanikisha hovyo ,sasa wewe panic toa mapovu ila mimi nipo kawaida na ombea ushinde au usuluhu leo ila ukipigwa hapa kutawaka na makolo kama nyinyi lazma mjipige banUwezo wako wa kuelewa mdogo mno, wapi nimezua watu kuja humu kuposti chochote? Nimesema wenye hasira kutwa kucha wapo kwenye majukwaa ya watu, hiyo mimba changa inaonekana bado inakusumbua bint, ukuzubaa majogoo wataikuza shauri yako
Kati yangu mimi na wewe nani yupo normal? Mtu masaa yote mipovu inakutoka kama umemeza OMOwewe inaonesha ndio hujielewi kabisa na wala hujitambui sasa kwa hiyo statement yako hapo ulikuwa una maanisha nini kama wewe kweli uko vizuri kiakili na kifikra pia.....mimi nipo normal kabisa na ndio tatizo la kubisha na mtu usiyemuona maana mwenzako yupo normal ila wewe unajipanikisha hovyo ,sasa wewe panic toa mapovu ila mimi nipo kawaida na ombea ushinde au usuluhu leo ila ukipigwa hapa kutawaka na makolo kama nyinyi lazma mjipige ban
nikikuita empty set wala sitokuwa nimekosea........maana hata hilo uliloandika nalo ni povuKati yangu mimi na wewe nani yupo normal? Mtu masaa yote mipovu inakutoka kama umemeza OMO