BARDIZBAH
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 5,911
- 11,729
Dogo mzuri sema majeruhi yali mmaliza kweli
Huyu Ings alikuwa awe ni mmoja kati ya World Class Striker lakini injury za muda mrefu za mara kwa mara (injury prone) ndiyo zilizozima ndoto zake.