Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Iwapo katika Mechi Muhimu kama hii Kubwa ya North west Derby Captain wetu anakuwa ni Bench Warmer nadhani Klopp ameshaanza kutuelewa.

Furaha inataka kurejea ndani ya Liverpool

As I always tell nikiona kikosi Hendo yuko nje, ntakuwa na amani sana.

Whatever the results, am okay with this squad.
 
As I always tell nikiona kikosi Hendo yuko nje, ntakuwa na amani sana.

Whatever the results, am okay with this squad.

Mkuu pana Lovren na Clyne hapo! Mmoja wapo anaweza kukukosesha amani.

But kwa upande wa Klopp kupanga kikosi leo nina amani naye ya kutosha
 
Confirmed Line-Up:

Liverpool XI:
Alisson, Clyne, Lovren, Van Dijk, Robertson, Fabinho, Wijnaldum, Keita, Mane, Salah, Firmino.

Subs: Mignolet, Henderson, Sturridge, Moreno, Lallana, Shaqiri, Camacho.
Hii lineup imenoga sio mchezoooo

1-win
2-win
3-win
4-draw
5-draw
6-lose
 
Mkuu pana Lovren na Clyne hapo! Mmoja wapo anaweza kukukosesha amani.

But kwa upande wa Klopp kupanga kikosi leo nina amani naye ya kutosha

Nimemwelewa kwa sababu ya majeruhi tuliyonayo, hana jinsi. Nina uhakika kwa jinsi alivyoipanga middle anaujua umuhimu wa hii mechi.

We are on right track (kwa sauti ya Magu).
 
Beki mbovu
Viungo wabovu
Forwad tu ndo wazima

Wanampa majukumu TORREIRA ambayo hayajui na ni bado mgeni kwenye race pia wanasahau MESSI mwenyewe huwa hakabidhiwi majukumu kiasi hichi kule BARCA

Tunaiheshimu EPL thus y huwa tunaweka first preority ni ushidi then hatusahau kupoteza ama kudraw pia inawezekana

Wenzetu hulisahau hili kwa kibur cha kuwa na TORREIRA tazama sasa wanaaibika
 
Kuna kila dalili ya msemo unaosema ukitaka kujua umuhimu wa makalio kalia kichwa Hendo milna hawapo ...tuko pamoja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom